Mnafurahi kupewa mwaliko kuonana na Rais wa JMT; je, mtanufaika vipi kisiasa?

Uzuri wapuuzi kama wewe mmebaki wa kuhesabu CCM. Mna machungu ya kufiwa na Dikteta aliyekuwa analazimisha kuonekana anapendwa ndani na nje ya chama. Kafa anaanikwa hadi mnaomba vikao vya kitchen party.
Mimi na wewe nani mpuuzi? Hii post yako ni jibu tosha.
 
Itokee mmetinga ikulu Magogoni au Chamwino Idodomya hivi wapinzani wa serikali ya Ccm mtapata manufaa gani ya kisiasa?

Kwamba sababu rais wa JMT amekubali kukutana na vyama vya upinzani ndio itakuwa sababu ya kuwapa boost kisiasa?

Wananchi watawakubali Chadema kama ilivyokuwa nyakati za Dk slaa? Nani atakuwa na imani na mtu kama Zitto ?

Jambo la msingi ambalo mnatakiwa kujitathimini, je wananchi bado wanawakubali? Mbona kwa siku za karibuni mkitoa matamko mbona wanawapuuza? Mkipata jibu ndio muende ikulu kubugia sambusa na juice za ceres.
Samia ni Rais wa Watanzania. Siyo Mama yako. Jua hilo.
 
Ningeshangaa kama usingeanzisha uzi wa cdm, maana huu ndio unaokupa malipo mazuri huko ccm. Saa hii ni saa 10 jioni, kwa masaa haya mpaka muda wa kulala unaweza kuanzisha hata nyuzi 3 zikupe posho nzuri.
 
Taifa halijaparanyika, wapinzani hawana jipya kwa wananchi.
He MKUU, naona filigisi za Tausi, mwendazake kaondoka na fulsa hiyo ,by the way CHADEMA ipo imara kuliko jana, kwamba nguvu yake imepungua, ni ndoto za mchana MKUU, na sio kwamba tunajipendekeza kwa raisSSH no,CHADEMA tunalipenda taifa,that's Hata mwendazake tuliwai mwambia kutana nae , mkamshauri vibaya ,matokeo yake mnaona umaarufu wake kila siku wayeyuka , tz ni YETU wote wa kuibomoa au kuijenga ni sisi wote bila kujali vyama,dini, n.k
 
Ningeshangaa kama usingeanzisha uzi wa cdm, maana huu ndio unaokupa malipo mazuri huko ccm. Saa hii ni saa 10 jioni, kwa masaa haya mpaka muda wa kulala unaweza kuanzisha hata nyuzi 3 zikupe posho nzuri.
Mkuu mbona unahaha? Jikite kwenye mada husika. Juice ya ceres na sambusa au manufaa ya kisiasa.
 
Wakati wa Dr slaa kila mtu alijua Chadema inatisha na kuaminika ni chama cha ukombozi.

Ripoti ya CAG husomwa Bungeni kwa mujibu wa katiba ya JMT.

Labda ungekuwa umesema hivi mkuu:

"Wakati wa Dr. Slaa ni vile hamkutukagua tu maungoni. Tulikuwa na uharo bwerere nguoni!"

Tungekuelewa na kuwahurumia kwa kujiharishia bure.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Unafahamu unaandika nini?
 
Unafahamu unaandika nini?

Kamili kabisa.

Poleni kwa kumhofia Dr. Slaa labda na akina mzee Mdee na wenzake pia.

Chadema ni zaidi mno ya mtu. Chadema ni zaidi mno ya Mbowe, Heche, Mnyika au yeyote awaye yote!

Kwamba mlikuwa mmemwogopa Dr. Slaa? Tunawaambia poleni sana kwa kupotea maboya. Mlikuwa mmejikoki choo cha kike wajomba.

Chadema itaendelea kutesa with and without everyone that you know.

Upo hapo jombi?
 
Mkuu mbona unahaha? Jikite kwenye mada husika. Juice ya ceres na sambusa au manufaa ya kisiasa.

Kwakuwa ww umetoka bush huko kwenye dhiki, ndio unaweza kuongelea huo utoto uitwao juice maana huko ni vitu adimu. Mgeni yoyote anayekwenda ikulu hukirimiwa kwa chochote, na iwapo ni muislamu kwa sasa kwa ajili ya mfungo atajadiliana kwa kilichompeleka tu. Hivyo ikulu sio nyumbani kwa kiongozi yoyote wa ccm, wala sio ofisi ya rais kutolea hisani, baki ni kwa ajili ya kufanyia shughuli na mijadala ya nchi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Machadema yalimiss kunywa juisi za ikulu!

Ila nakuhakikishia hayataambulia kitu

Ikulu ya Tanzania napo kuna juice ya kutishia wanaume. Ingekuwa ni ikulu ya Abu Dhabi si ungekufa kwa kihoro?
 
Kamili kabisa.

Poleni kwa kumhofia Dr. Slaa labda na akina mzee Mdee na wenzake pia.

Chadema ni zaidi mno ya mtu. Chadema ni zaidi mno ya Mbowe, Heche, Mnyika au yeyote awaye yote!

Kwamba mlikuwa mmemwogopa Dr. Slaa? Tunawaambia poleni sana kwa kupotea maboya. Mlikuwa mmejikoki choo cha kike wajomba.

Chadema itaendelea kutesa with and without everyone that you know.

Upo hapo jombi?
Hapana.
 
Ikulu ya Tanzania napo kuna juice ya kutishia wanaume. Ingekuwa ni ikulu ya Abu Dhabi si ungekufa kwa kihoro?
Ahaaaa, juice za ceres na bajia. Lakini huku uraiani zii
 
Kwakuwa ww umetoka bush huko kwenye dhiki, ndio unaweza kuongelea huo utoto uitwao juice maana huko ni vitu adimu. Mgeni yoyote anayekwenda ikulu hukirimiwa kwa chochote, na iwapo ni muislamu kwa sasa kwa ajili ya mfungo atajadiliana kwa kilichompeleka tu. Hivyo ikulu sio nyumbani kwa kiongozi yoyote wa ccm, wala sio ofisi ya rais kutolea hisani, baki ni kwa ajili ya kufanyia shughuli na mijadala ya nchi.
Mnywe au msinywe, mtanufaika kisiasa?
 
Itokee mmetinga ikulu Magogoni au Chamwino Idodomya hivi wapinzani wa serikali ya Ccm mtapata manufaa gani ya kisiasa?

Kwamba sababu rais wa JMT amekubali kukutana na vyama vya upinzani ndio itakuwa sababu ya kuwapa boost kisiasa?

Wananchi watawakubali Chadema kama ilivyokuwa nyakati za Dk slaa? Nani atakuwa na imani na mtu kama Zitto ?

Jambo la msingi ambalo mnatakiwa kujitathimini, je wananchi bado wanawakubali? Mbona kwa siku za karibuni mkitoa matamko mbona wanawapuuza? Mkipata jibu ndio muende ikulu kubugia sambusa na juice za ceres.
Hawaamini kama wananchii ndio waliowanyima kura baada watumie mda mwingi kurudisha imani kwa wananchi badala yake wao wanadai kuonana na raisi
 
Itokee mmetinga ikulu Magogoni au Chamwino Idodomya hivi wapinzani wa serikali ya Ccm mtapata manufaa gani ya kisiasa?

Kwamba sababu rais wa JMT amekubali kukutana na vyama vya upinzani ndio itakuwa sababu ya kuwapa boost kisiasa?

Wananchi watawakubali Chadema kama ilivyokuwa nyakati za Dk slaa? Nani atakuwa na imani na mtu kama Zitto ?

Jambo la msingi ambalo mnatakiwa kujitathimini, je wananchi bado wanawakubali? Mbona kwa siku za karibuni mkitoa matamko mbona wanawapuuza? Mkipata jibu ndio muende ikulu kubugia sambusa na juice za ceres.
Toka lini uliwakubali Chadema wewe? Thread zako zote kuhusu CHADEMA, ni kuponda tu!
Screenshot_20210425-120512.jpg
 
Back
Top Bottom