Mnafurahi kupewa mwaliko kuonana na Rais wa JMT; je, mtanufaika vipi kisiasa?

Mnafurahi kupewa mwaliko kuonana na Rais wa JMT; je, mtanufaika vipi kisiasa?

He MKUU, naona filigisi za Tausi, mwendazake kaondoka na fulsa hiyo ,by the way CHADEMA ipo imara kuliko jana, kwamba nguvu yake imepungua, ni ndoto za mchana MKUU, na sio kwamba tunajipendekeza kwa raisSSH no,CHADEMA tunalipenda taifa,that's Hata mwendazake tuliwai mwambia kutana nae , mkamshauri vibaya ,matokeo yake mnaona umaarufu wake kila siku wayeyuka , tz ni YETU wote wa kuibomoa au kuijenga ni sisi wote bila kujali vyama,dini, n.k
Mko imara kwa mbunge mmoja. Hahahahaaa. Hauko serious
 
Mkuu umesahau kuwa CAG kawekwa na ccm

Si ndiyo uyaone ya firauni sasa mkuu? CAG huyo huyo wa CCM, ripoti yake tu ni mwiba mchungu mno kwa wao wenyewe.

Kwamba ripoti ya huyo CAG haisomeki hadharani!

Hiiiiii bagosha!
 
Si ndiyo uyaone ya firauni sasa mkuu? CAG huyo huyo wa CCM, ripoti yake tu ni mwiba mchungu mno kwa wao wenyewe.

Kwamba ripoti ya huyo CAG haisomeki hadharani!

Hiiiiii bagosha!
Haisomwi hadharani kivipi?
 
Haisomwi hadharani kivipi?

Uko dunia ya wapi wewe? Miito ya mataga wenzio watiifu ni hii hapa:

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Uko dunia ya wapi wewe? Miito ya mataga wenzio watiifu ni hii hapa:

Au nasema uongo ndugu zangu?
Akili hamuna kabisa.
 
Akili hamuna kabisa.

Wenye akili mtakuwa nyie mnaokereka kuwa Chadema wameahidiwa kuonana na Madame President?

Wenye akili mtakuwa nyie mnaoshinikiza ripoti za CAG kutosomwa hadharani?

Muwe na akili nyie? Mbona nyie ni full matope kama siyo uharo mtupu vichwani!
 
Back
Top Bottom