Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Baada ya kuwafukuza warundi woote kurudi kwao ukiwemo wewe.Itokee mmetinga ikulu Magogoni au Chamwino Idodomya hivi wapinzani wa serikali ya Ccm mtapata manufaa gani ya kisiasa?
Kwamba sababu rais wa JMT amekubali kukutana na vyama vya upinzani ndio itakuwa sababu ya kuwapa boost kisiasa?
Wananchi watawakubali Chadema kama ilivyokuwa nyakati za Dk slaa? Nani atakuwa na imani na mtu kama Zitto ?
Jambo la msingi ambalo mnatakiwa kujitathimini, je wananchi bado wanawakubali? Mbona kwa siku za karibuni mkitoa matamko mbona wanawapuuza? Mkipata jibu ndio muende ikulu kubugia sambusa na juice za ceres.