Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
- Thread starter
- #61
Kwa hiyo unakubaliana nami kuwa hakuna manufaa ya kisiasa mtayopata?..tusiangalie maslahi ya vyama, tuangalie maslahi ya NCHI.
..mkutano kati ya Rais na viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa ulenge ktk kuweka mazingira yenye haki na usawa kwa vyama vyote vya siasa.
..tunataka nchi yetu iwe na siasa za haki, usawa, na safi. hiyo itasaidia kupata viongozi bora, na watakaosimamia maendeleo na ustawi wa nchi kwa ujumla.
..again, tutangulize maslahi ya TANZANIA.