Mnafurahi kupewa mwaliko kuonana na Rais wa JMT; je, mtanufaika vipi kisiasa?

Kwa hiyo unakubaliana nami kuwa hakuna manufaa ya kisiasa mtayopata?
 
Tunataka mfumo wa vyama vingi kwa namna hiyo sio lile jitu UPINZANI ulikuwa sawa na UHAINI
 
Itokee mmetinga ikulu Magogoni au Chamwino Idodomya hivi wapinzani wa serikali ya Ccm mtapata manufaa gani ya kisiasa?
Umekasirika wapinzani kuitwa kukutana na Mh. Rais, unapata faida gani?
 
Mnywe au msinywe, mtanufaika kisiasa?
Unauliza utoto gani dogo? Cdm haina uhaba wa watu wa kuwaunga mkono, ndio maana hawahitaji mbeleko ya vyombo vya dola.
 
Kwani Dr. Slaa alipokuwa Chadema mliwahi kukubali kuwa Chadema inakubalika?

Mama Samia kukubali kuonana na Chadema kwenu imekuwa nongwa tena?

Watu wa namna gani nyie? Ndiyo maana hampendi ripoti za CAG kusomwa hadharani.

Nyambafu!
Mkuu umesahau kuwa CAG kawekwa na ccm
 
Mbweha wa Mwendazake Mnahaha sana Qmamamake
 
Hivi mtaenda na Askofu yupi, Bagonzaaaa au Mwakituma? Na Lawyer yupi, fatmakarumeee au wa zittokabwe? Kikwete aliwakaribisha futari mwaka ule Mhe. Mnyika akamwita Rais dhaifu. Huyu naye mtamwiteje, kumbuka tayari tundulissu kamwita ni Magufuli II.
 
Huyu mama amelelewa na wazazi mkuu,hana mawazo kama ya yule mchunga ng,ombe.

Na ana hofu ya Allah wake,mwenda zake kilichompotezea legacy yake ni kutoiheshimu katiba na kupandikiza mbegu ya chuki na ubaguzi alichopanda ndo anakivuna SAA hii.
Mchunga ng'ombe
 
Sambusa na chai ya ikulu
 
Usiingilie uhuru wangu wa kikatiba kuwaza chochote shutup. Nini manufaa ya kula sambusa na juice za ikulu huku hamkubaliki?
Kumbe wewe taahira kweli kweli,kama uwezo wako wa kufikiri ni kuwa watu wanaenda Ikulu kula sambusa, basi hata kuwepo hapa jukwaani ni kosa. Rais ndiyo ameshaamua,na cha kumfanya hamna wahutu wapumbavu nyie.
 
Nawaona viongozi wa Chadema sasa wanatafuta njaa wakienda ikulu wafakamie misosi kwa fujo
Tunajua shinikizo la Wahisani na Watoa misaada liko palepale

Lazima akubali masharti ili atembeze bakuli

Sharti ni Demokrasia yenye Afya Tanzania
 
Kumbe wewe taahira kweli kweli,kama uwezo wako wa kufikiri ni kuwa watu wanaenda Ikulu kula sambusa, basi hata kuwepo hapa jukwaani ni kosa. Rais ndiyo ameshaamua,na cha kumfanya hamna wahutu wapumbavu nyie.
Taahira mama yako aliyepigwa shipa akakufyatua taahira mwenzake
 
MKUU, kweli uhoni manufaa ya vyama kukutana na Rais hasa KATIKA kipindi hichi ambapo taifa limeparanganyika? Binafsi nahamini unajua Basi tu unafanya makusudi tu kwa ulichokiandika .
Hakuna manufaa yoyote, hao ni wanaharakati tu
 
Huyu mama amelelewa na wazazi mkuu,hana mawazo kama ya yule mchunga ng,ombe.

Na ana hofu ya Allah wake,mwenda zake kilichompotezea legacy yake ni kutoiheshimu katiba na kupandikiza mbegu ya chuki na ubaguzi alichopanda ndo anakivuna SAA hii.
Nani kakudanganya kama legacy yake imepotea ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…