Mnajichimbia makaburi kwa mikono yenu wenyewe. Sikilizeni watoto wa vyuo

Mnajichimbia makaburi kwa mikono yenu wenyewe. Sikilizeni watoto wa vyuo

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
533
Reaction score
1,499
Sikiliza kwa makini mdogo wangu wa chuo kikuu au chuo chochote kile – huu uzi nimeutengeneza specifically kwa ajili yako. Najua huta-like, najua utajisikia vibaya, najua ego yako ya kijinga itachafuka – but I don’t give a f*ck! This is real talk, and if you got a brain, utashtuka!

Mnakuja vyuoni, badala ya kuelewa mnatumwa kupata elimu na kusimamia ndoto zenu, mnageuza vyuo kuwa mabepari ya upumbavu. Mnajifanya wakubwa, mnapotea kwenye clubs, mnaishi kama hamna kesho, mnakimbizana na nonsense – sex, pombe, matusi, kuendekeza miili badala ya akili. What the f*ck is wrong with you?!

Wazazi wenu wanateseka kijijini – wengine wanauza mazao yao ya mwisho, wengine wanakopa kwa riba za kikatili, wengine wanatembea miguu ili nyie msome. Lakini nyie mnaingilia bullshit. Mnaishi kwa status za Instagram badala ya substance. Mnafanya maisha ya mpito kuwa permanent f*ck-ups. Mnajichimbia kaburi lenye kina mrefu kuliko urefu wa maisha yenu ya baadae.

Mnadanganywa na ma-lecture ya kipumbavu, life ya hostel, group chat za ujinga. Mnadhani hiyo ndiyo freedom? That’s not freedom – that’s f*cking slavery with sugar on top!

Unachukua mkopo wa serikali na badala ya kuuwekeza kichwani, unawashangaza na ‘outfit za bei mbaya’, ‘drinks kila wikiendi’, na ‘vijisafari vya kutafuta attention’. Sh*t ain’t cute! You ain't rich, bro! Wewe ni mtoto wa maskini mwenye chance ya kuwa mtu mkubwa, lakini unaitumia kutafuta likes na kiki. That’s f*cking dumb!

Mdogo wangu, kaa chini ujiulize: "Nataka kuwa nani miaka 5 ijayo?" Kama jibu haliko, then wake the f*ck up! Hii life ya chuo haitadumu. Utaondoka hapo bila skills, bila vision, bila network ya maana, bila chochote – isipokuwa mimba zisizotarajiwa, madeni, na regrets.

So sikiliza, kama unaamua kuendelea na huu ujinga, basi jua kabisa kwamba you’re digging your own f*cking grave. Lakini kama uko serious na maisha yako, stop the bullshit, jikaze, soma, jenga nidhamu, tafuta mwelekeo, jenga ndoto zako kabla zijaibiwa na mazingira.

This ain’t no joke – it’s your f*cking life.
 
20250505_145129.jpg
Madogo wenyewe sasa!!!
 
Hizo fuckfuck zote inaashiria kabisa ww n mtu ambaye n halfmandated,kwann usitoe Kama ushauri ulionyooka kuliko kujaza ushuzi humo ndani...kumbuka na ww Kuna ndugu yako anayafanya hayo nenda kamtukane afu Rudi na mrejesho,punguza hisia ,narudia Tena punguza hisia
 
Waache kuolewa kwa hizi ndoa bubu za chuoni miaka mitatu mizima mtu anaishi kinyumba kupika na kupakua na kiboifurendi chake wakidanganyana eti ni couple from heaven watakuja kuoana. Few abortions later wakimaliza chuo kiboifurendi uchwara hichoo kinatokomea na kuacha makovu ya kisaikolojia yasiyotibika. Halafu linatafutwa boya li simp huku late 20s linakuja kubebeshwa mzigo wa binti aliyetumika sana ujanani hata kumtungisha mimba ni mtihani.

Girls. Know your worth. Wewe ni wa thamani na siyo wa kuchezewa tu na hicho kijamaa ulichokutana nacho huko kinakuoa kwa miaka mitatu mizima halafu ukitoka hapo unajidai eti hujawahi kuolewa kumbe in essence wewe ni muachika/mtalaka hata kama hakuna makaratasi ya talaka. Hivi vivulana vyenyewe havina time constraints kama nyinyi mabinti; na biologically havichakai upesi.

As a father of 7 girls huwa naumia sana nikiona binti ameolewa kwa ndoa bubu na hivi vivulana visivyo na mwelekeo. Eti love birds from heaven. Pumbavuuuu! 🚮🚮🚮

Halafu mtoto wa watu tall dark decent guy amenyoka kama rula anakuja kutozwa mahari milioni 3+ wakati kibaharia cha chuoni kilioa bure kwa miaka mitatu mizima kinaichakata tu mbususu mpaka imeomba poo. Not fair; na ndo maana hamuwi na amani hata katika ndoa zenu za baadaye maana ni za kitapeli Leo nimechafukwa 😡 😡 😡😡
 
Waache kuolewa kwa hizi ndoa bubu za chuoni miaka mitatu mizima mtu anaishi kinyumba kupika na kupakua na kiboifurendi chake wakidanganyana eti ni couple from heaven watakuja kuoana. Few abortions later wakimaliza chuo kiboifurendi uchwara hichoo kinatokomea na kuacha makovu ya kisaikolojia yasiyotibika. Halafu linatafutwa boya li simp huku late 20s linakuja kubebeshwa mzigo wa binti aliyetumika sana ujanani hata kumtungisha mimba ni mtihani.

Girls. Know your worth. Wewe ni wa thamani na siyo wa kuchezewa tu na hicho kijamaa ulichokutana nacho huko kinakuoa kwa miaka mitatu mizima halafu ukitoka hapo unajidai eti hujawahi kuolewa kumbe in essence wewe ni muachika/mtalaka hata kama hakuna makaratasi ya talaka. Hivi vivulana vyenyewe havina time constraints kama nyinyi mabinti; na biologically havichakai upesi.

As a father of 7 girls huwa naumia sana nikiona binti ameolewa kwa ndoa bubu na hivi vivulana visivyo na mwelekeo. Eti love birds from heaven. Pumbavuuuu! 🚮🚮🚮

Halafu mtoto wa watu decent guy anakuja kutozwa mahari milioni 3+ wakati kibaharia cha chuoni kilioa bure kwa miaka mitatu mizima. Not fair!
😂😂😂😂😂😂
Gran pah nimecheka had watu wananishangaa hapa.

Maisha ya chuo ni hatarii mno, nimekumbuka ndoa bubu za mashost zangu, leo kila mtu yuko na 40 zake, 20 wamemuachia Jah awapambanie upya.

Huwa nacheka had Co poa, woiiiiih
 
Kwenda tofauti na marika ni kazi ngumu sana, inahitaji nguvu ya akili kweli kweli.

Vijana wanapambana na;
1. Vichochezi toka kwa makundi
2. Vichochezi toka kwenye mitandao
3. Vichochezi vya tamaa za mwili
4. Vichochezi toka kwenye mapokeo ya kijamii

Hili ni suala mtambuka, kila mtu atajijua mwenyewe.
 
Ila mie naona kule chuoni, kuna faculty ambazo zina maisha ya aina hiyo,

Kunazo hizo hazina hata huo muda kabisa. Lol
 
Ukute mechatronics engineer anaruka ruka wakati ana module 11, ni ngumu

Sema kwenye mamba kutakuwa na kenge tu
Hapo sasa.
Yaan nawaza mziki wa COET, mtu anapata wapi muda wa kuwaza kuishi na mtu km mke na mume. Eti atimize majukumu ya ndoa bubu.
😂😂😂😂😂 hata kuwa na babe unaogopaa. Lol
 
Kwenda tofauti na marika ni kazi ngumu sana, inahitaji nguvu ya akili kweli kweli.

Vijana wanapambana na;
1. Vichochezi toka kwa makundi
2. Vichochezi toka kwenye mitandao
3. Vichochezi vya tamaa za mwili
4. Vichochezi toka kwenye mapokeo ya kijamii

Hili ni suala mtambuka, kila mtu atajijua mwenyewe.
Mtambuka mai futi. We mwenyewe hapo si ajabu umeoa kimwanachuo chenzako hapo MUST unajipakulia tu minyama. Na hiyo ndiyo lab yako ya kujifunzia mapenzi. Eti soulmates sent from heaven 🚮🚮🚮
 
Haya mambo ni magumu sana. Kuna mdada ni rafiki yangu(nafanya nae kazi taasisi moja) alinipa stories zake za chuo, KIDOGO NIPAGAWE. Ila kuna mwamba mmoja kafa kaoza na gari kanunua kwa hiyo chuma.
 
Mtambuka mai futi. We mwenyewe hapo si ajabu umeoa kimwanachuo chenzako hapo MUST unajipakulia tu minyama. Na hiyo ndiyo lab yako ya kujifunzia mapenzi. Eti soulmates 😡😡😡😡
Nyie wazee huwa ni wanafki sana!!

Utafikiri na nyie chuoni mlikuwa mnasoma tu masaa 24.

Hiyo nguvu ya kujizatiti sio kila mtu anayo.
 
Hizo fuckfuck zote inaashiria kabisa ww n mtu ambaye n halfmandated,kwann usitoe Kama ushauri ulionyooka kuliko kujaza ushuzi humo ndani...kumbuka na ww Kuna ndugu yako anayafanya hayo nenda kamtukane afu Rudi na mrejesho,punguza hisia ,narudia Tena punguza hisia
Hajatukana. Ni aina tu ya uwasilishaji. Nadhani Gen Z watakuwa wamemwelewa vizuri sana. Hata wewe ungekuwa Gen Z ungetambua mara moja kuwa haya siyo matusi bali ni aina tu ya uongeaji ili kutia msisitizo na kuonyesha kuchafukwa!
 
Nyie wazee huwa ni wanafki sana!!

Utafikiri na nyie chuoni mlikuwa mnasoma tu masaa 24.

Hiyo nguvu ya kujizatiti sio kila mtu anayo.
Kusema kweli mimi nilikuwa nasoma 24/7. Kuondoka na first class ya 4.9 siyo kazi rahisi kwa kozi yo yote ile. Miaka yangu minne "nilibakwa" mara moja tu na pisi moja ya Kinyaturu. Nilikwazwa sana!
 
Back
Top Bottom