Waache kuolewa kwa hizi ndoa bubu za chuoni miaka mitatu mizima mtu anaishi kinyumba kupika na kupakua na kiboifurendi chake wakidanganyana eti ni couple from heaven watakuja kuoana. Few abortions later wakimaliza chuo kiboifurendi uchwara hichoo kinatokomea na kuacha makovu ya kisaikolojia yasiyotibika. Halafu linatafutwa boya li simp huku late 20s linakuja kubebeshwa mzigo wa binti aliyetumika sana ujanani hata kumtungisha mimba ni mtihani.
Girls. Know your worth. Wewe ni wa thamani na siyo wa kuchezewa tu na hicho kijamaa ulichokutana nacho huko kinakuoa kwa miaka mitatu mizima halafu ukitoka hapo unajidai eti hujawahi kuolewa kumbe in essence wewe ni muachika/mtalaka hata kama hakuna makaratasi ya talaka. Hivi vivulana vyenyewe havina time constraints kama nyinyi mabinti; na biologically havichakai upesi.
As a father of 7 girls huwa naumia sana nikiona binti ameolewa kwa ndoa bubu na hivi vivulana visivyo na mwelekeo. Eti love birds from heaven. Pumbavuuuu! 🚮🚮🚮
Halafu mtoto wa watu tall dark decent guy amenyoka kama rula anakuja kutozwa mahari milioni 3+ wakati kibaharia cha chuoni kilioa bure kwa miaka mitatu mizima kinaipakua tu mbususu mpaka imechakaa. Not fair; na ndo maana hamuwi na amani hata katika ndoa zenu za baadaye maana ni za kitapeli 😡
😡😡