Mnajichimbia makaburi kwa mikono yenu wenyewe. Sikilizeni watoto wa vyuo

Mnajichimbia makaburi kwa mikono yenu wenyewe. Sikilizeni watoto wa vyuo

Hahaha 😁 jiandae na maumivu yasiyomithilika maana hao mabinti zako saba lazima wachakazwe mbususu na kuolewa kwa ndoa bubu.
Ushindwe katika jina la Yesu 🙏🏿

➡️➡️➡️ Sita tayari nilishaoza mkuu; na tayari nina wajukuu na vitukuu kibao. Mmoja tu ndo inaonekana ndoa inataka kumshinda maana mume wake ni pasua kichwa kweli kweli hataki sketi yo yote inayotikisika ikatize mbele yake.

Kadogo ka mwisho uzeeni huku ndiyo kako mwaka wa kwanza chuoni ila na kenyewe kamenyoka kama rula. Mama yao alikuwa mama wa nyumbani na tulikuwa timu moja matata sana linapokuja suala la malezi. Kwa msaada wa Mungu, we did good!

Mungu ni mwema!
 
Kwan wee shoga utamjuaje? Sinhad awe na hulka ya kike ? Je km yuko masculine na manhood? Utamjua?

Kuhusu sperms si wanazitoa? Kwa kujikamua na kujisafi, maambukizi ni km kunae mgonjwa kati yao na usafi hawazingatii, au watumie condoms.

Kukeft group sio shida ikiwa wao wamekubali hiyo hali. Nazungumzia wao kuishi private life bila kukwaza wengine au kujichoresha. Lol
Me huwa siwezi mjuaja yeyote kati ya hao , japo Kuna wanaume wanakuwa na hulka za kike siwezi toa judgement Ila nakuwa nawaogopa kiaina,

Ttzo ndo Hilo kila mtu wanajua Basha au senge ndo shida ya marangi rangi
 
Ushindwe katika jina la Yesu 🙏🏿

➡️➡️➡️ Sita tayari nilishaoza mkuu; na tayari nina wajukuu na vitukuu kibao. Mmoja tu ndo inaonekana ndoa inataka kumshinda maana mume wake ni pasua kichwa kweli kweli hataki sketi yo yote inayotikisika ikatize mbele yake.

Kadogo ka mwisho uzeeni huku ndiyo kako mwaka wa kwanza chuoni ila na kenyewe kamenyoka kama rula. Mama yao alikuwa mama wa nyumbani na tulikuwa timu moja matata sana linapokuja suala la malezi. Kwa msaada wa Mungu, we did good!

Mungu ni mwema!
Haongera sana pia naomba nimweke ndani huyo wa mwisho akimaliza chuo.
 
Ukweli Mtupu Mkuu Lakini Kwa Kizazi Hiki Cha Leo Hakuna Atayekuelewa. Umenikumbusha mbali life la chuo kipindi fast jet bado anaoporate hapa Tz Sasa hivi upo hapa baadae upo kule Ujana Hatari Sanaa
 
Back
Top Bottom