Mnajichimbia makaburi kwa mikono yenu wenyewe. Sikilizeni watoto wa vyuo

Kikubwa ujumbe ni mzuri sana na kila mwenye akili hawez kosa cha kuokota humo.
 
Wakati nasoma Chuo.
Kulikua na Mabinti ambao hawadeti ile seriously, Hawaendi club, Hawakosi vipindi, Hawana Fancy lifestyle wao ni kitabu 24/7, Lkn mwishowe tulikua tunakutana wote kwenye sup.

Sisi wengine tulikua tunajichanganya kawaida, Disco kidogo, Watoto kidogo, Story na malecturer kidogo, uongozi kidogo, siasa kidogo, Na shule sana.

Sasa hivi tumemaliza, Guess who is struggling on the street?

Maisha sio straight Forward hivo Mazee, Kila mtu achange karata zake kwa umakini
 
Yote hapo ya kujitakia tu, sio mapya kabisaa na yanazuilika bila kutumia nguvu ni wao tu wanayapenda na kuyakimbilia
 
Nadhani ni namna mtu anavyo chukulia jambo fulani, so far chuo ukizingua tukitoa case za lecturer nyingn ni uzembe wa student mwenyw,

Kwenda club, au kuwa na mpenzi haimanishi mmegandana 24/7 no, mchana unaingia pindi, Kuna assignment Baki fanya assignment hasa hizi individual au km ni kujisomea, usiku nenda magheton fanya yako km ngono, kma pombe

Mm nikuwa nasoma mchana tuu baada ya vipindi nikirud jioni nauza duka,
 
Si alikua analiwa, vijana wa chuo wanaona u gay ni fashion siku hizi. Lol.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
walio wengi wameanzia huko chini, au wale nataka sitaki

Huwezi fika chuo na 20yrs hujawah pumuliwa afu upumuliwe kirahisi tuu,

Afu Kuna maswali mengi najiuliza Ila nakosa majibu,

Wanakuwa comfortable kabisa kabisa, akikaa, kutembea au inakuaje ๐Ÿค” ama wakiwa man to man anaweza change nguo hivi au km ni mtoni kuogolea ?
 
Kwa hapa wanawake inabidi mmshukulu huyu jamaa kwa kuwasanaua alafu ndo maana inchi kama haina wasomi vile ndo mambo yao

Halafu kunawale watu ambao hawajasoma kule vijijin wanawategemea sana kuwa nchi inapata wasomii ukiachia wazazi kuwasaidia wenye hakili wamenipata wasomi hawana mchango wowote katika inchi hii hasaaa hawa watoto wa masikini

Wanatoka makwao wazaz hadi walime wakutumie pesa halafu wazee kilimo kigumu mtalaniwa mkirudi nyumbn na vingeleza mshenzi pale kijijini hasaa

hawaa watoto wa maskin ndo wabaya wakifika mjini
 
Huyu nahisi kaanzia huko Advance, angeanza utotoni hawezi kua vile, anaona shaz kujianika vile.

Hawa walio kaza mbna wanakua fresh na life linasonga, ila kizungumkuti kwa hawa walio na hulka ya kike, si wanatengwa, au campan yao ni huwa wadada.

Mtu uko chuo, unajianika wazi na video una record, Elimu yako inakusaidia nn? Gay uko zako chuo, unakua buzzy na life lako, piga kitabu unapita hivi, huna mazoea ya kiwaki na watu, wao sasa wataanza kujudge ni kweli au wanakuzushia? Afu hawaoni km kuna jamaa uko nae, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Natamani sana kuwapa semina jinsi ya kuishi hapa Bongo kwa gays, tena simple mno. Tatizo wengi vichwa maji. Woiiiiih
 
Hapo walokaza inakuwa fresh how ?

Ina maana zile sperms zinaenda wapi ? Vipi kuhusu maambukizi ya bacteria pamoja na fungi cuz ile ni tofauti na k ?

Na elimu una maanisha wafanywe lkn wawe wanakaza ama hapo sii inakuwa tyr wameleft group ๐Ÿค”
 
Kwan wee shoga utamjuaje? Sinhad awe na hulka ya kike ? Je km yuko masculine na manhood? Utamjua?

Kuhusu sperms si wanazitoa? Kwa kujikamua na kujisafi, maambukizi ni km kunae mgonjwa kati yao na usafi hawazingatii, au watumie condoms.

Kukeft group sio shida ikiwa wao wamekubali hiyo hali. Nazungumzia wao kuishi private life bila kukwaza wengine au kujichoresha. Lol
 
Hahaha ๐Ÿ˜ jiandae na maumivu yasiyomithilika maana hao mabinti zako saba lazima wachakazwe mbususu na kuolewa kwa ndoa bubu.
 
Katika miaka mitatu we uliwekwa ndani miaka mingapi na yule boifendi wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ