Mnajifanya kusikitika Kifo cha Katibu wa Masanja, ila hamkemei 'Uhuni' wake 'Wanafiki' wakubwa nyie

Kukemea ukiwa na evidence ni muhimuuu, mie mekuwa nikisikia ana kamba ndefu sana ya mipango kando, wasanii, wanajamii na hata kondoo wake ana*7=wapa&huduma hiyo. Kwa kuwa nimesikia ni vigumu kukemea bora ngeona live bila chenga
Ndy umeandika nini hapa?
 
Achana na huyo mtu vitu vingine ibaki kuwa siri nachoweza kukwambia tu wachungaji wa kweli hapo tz ni wachache sana wengine wote wameoza. usitake kunijua mimi ni nani na kwanini nimekwambia hivyo endelea kukaza shingo.
Umemaliza kila kitu kiongozi Wangu ahsante sana
 
Uzi umefika page ya 4 popoma bado hajaanza kutukana. Popoma usitufanyie hivyo kaka anza kutukana basi.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
kwenye hili mwenye mke ameonesha kweli ni msanii mana amesimama mbele ya waumini wake na kusema hata akikuta mke wake anamenywa anamchukua na kuondoka nae ni wakwake ..
Hapa ndo nagundua kwamba jamaa mke wake ameliwa kweli ila yeye ameapa kutomwacha ila kummalizia mbali anaemwibia penzi lake.
Ushauri wangu kwa mnaotaka kuonja utamu wa mama mchungaji chunga usihisiwe au kukamatwa😁😁😁😁
 
Huyu mtu anayejiita GENTAMYCIME anataka kusafiria nyota ya GENTAMYCINE tengeneza jina lako na sio kutafuta kitonga.
Asante sana Mkuu kwa kumpa Ukweli wake huyo Ngende ( Bwege ) GENTAMYCIME na mwambie anahitaji Kazi ya Ziada na ya muda mrefu ili nae aje kuwa kama Mimi GENTAMYCINE Halisi ambaye ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kudadadeki zake.
 
Unavyoita watu wapumbavu umetoa wapi huo ubabe,umetoa wapi nguvu ya kutuita wanafiki,wa swahili wanasema wanafiki wanajuana kwa vilemba nasi pia wewe mnafiki,wewe uliyoandika ni nani?? Je wewe ni mchambuzi??au hujui maana ya jamii forum??basi tuambie wewe katibu nani alimuua??inaonekana unajua vingi,ndo maana watu kama nyie mnanyea ndoo mahabusu,usipende kupost utumbo uonekane nawe upo uzi kama hizi tupilia kapuni,kabla sija sahau mnafiki mwenyewe....
 
Acha kusikiliza taarabu
 
Wengi 'ninaowakaza' mwanzoni huniambia kuwa wako 'Single' au Wameachana na Wanaume wao ila baadae huamua Kufunguka Kwangu kuwa wana Mabwana na Mimi haraka sana huamua Kuachana nao.

Acha uwongo we mzee utakufa vibaya sana
 
Kivipi dadavua
Ukimuona Mke wa mtu kaharibika ujue Mume wake kaoza zaidi.. Masanja amevuna alichopanda kwenye ndoa yake.. Mimi namalumu Masanja mwenyewe kama kichwa cha ndoa yake amekuwa mfano mbaya kwa mke wake na kiongozi wa hovyo wa kanisa lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…