JamiiForums Moderators
Paw,
Moderator,
Active,
Cookie and
JamiiForums GENTAMYCINE nimekuwa nikitukanwa na kudhalilishwa mno na Members na sioni wakiadhibiwa kama ambavyo MImi huwa nawahiwa Kuadhibiwa kwa BAN.
Huyu ni Member wa Tatu hapa JamiiForums kuniita Mimi Mbwa na bahati mbaya hata nikiwaripoti Kwenu hawa Watu bado naona wapo ila nami nikijibu mapigo kwa Lugha yangu upesi sana naona nimepigwa BAN.
Kinachonisikitisha zaidi kuna Members hapa kama
BILGERT na Wengine wengi tu GENTAMYCINE nikitukanwa na Kudhalilishwa hivi kwa Kuitwa Mbwa hawajitokezi Kukemea na Kuwakemea Wahusika ila nikijibu tu mapigo haraka sana utaona wanajitokeza Kunishangaa, Kunilaumu na hata Kuwaita Moderators wa JamiiForums wanipige BAN.
Asanteni.
Cc: JamiiForums Founder
Maxence Melo