Mnajua kwanini kamata kamata imeongezeka Kitaani?

Kwahio unatuambia HELA MINGI IMETUMIKA jamaa yako akaachiwa. Maana yake ni kuwa kwenye NATIONAL SECURITY MATTERS mtu anaweza kuhonga na kuachiwa? Kweli kuna usalama na amani kwenye nchi kama hio?
Unajifanya mgeni na nchi hii?
 
Huwezi kuzima moto kwa kuufunika kwa takataka. Hiki ndicho CCM na wapumbavu kama wewe na Samuya mnadhani ndiyo suluhisho. Kuna siku kila mtu atalipia kinachoendelea sasa hivi. Uwe ulikaa kimya au ulikuwa unalikuwa unaonyesha upumbavu kama wewe na CCM.
 
Kwahio unatuambia HELA MINGI IMETUMIKA jamaa yako akaachiwa. Maana yake ni kuwa kwenye NATIONAL SECURITY MATTERS mtu anaweza kuhonga na kuachiwa? Kweli kuna usalama na amani kwenye nchi kama hio?

Ikiwa unajaribu kujifanya hauelewi ukweli Kazi kwako
 
Waamini sugu walipewa vijana kuwasimamia wahakikishe wanaandama,kila mmoja watatu watatu,waliwapa mlo,makazi na probably malipo,walipoenda front wakakuta jamaa hawatanii,wanafumua mafuvu tu
Waliokamatwa wanawataja masters wao, ndiyo wanadakwa
Ni sahihi kabisa,sasa wanaeleza ishu nzima ilikuwaje na iliratibiwa vipi

Wanadakwa tu kama mabroila
 
Wanadakwa tu kama mab
Wakati unasema kuna siku itafika wenzio wnakula kichwa now na hiyo siku hufiki

epuka mazingira yote yenye kukuleta matatizo
 
There was a fool who walked through life with his eyes open but could not see clearly. He laughed at advice, ignored warnings, and missed the signs all around him. Chances came and went, but he never noticed them. He saw things on the surface but never understood what was really there
 
Ni sahihi kabisa,yani hao vijana wamefinywa mpaka wameuza mafaili yote

Kwahiyo Serikali ina Ramani nzima wanajua wapi PA kuanzia na wapi kwa kuishia

DOLA INA MKONO MREFU SANA,HAWA VIJANA HAWAJUI TU
 
Got you bro but not in this government
 
Got you bro but not in this government
There was a fool who walked through life with his eyes open but could not see clearly. He laughed at advice, ignored warnings, and missed the signs all around him. Chances came and went, but he never noticed them. He saw things on the surface but never understood what was really there
 
Kwahiyo unakiri kuwa wanaokamatwa wanatoa hongo ndiyo waachiwa na si wanaachiwa kwasababu hawana hatia.
Kumbe ni kukamata mtu yeyote ili wapate hela 🤦🤦 tunasafari ndefu
Hakamatwi kila mtu,lau ingekuwa hivyo basi wote tungekuwa tumekamatwa,anakamatwa kila mwenye kuvunja amani ya nchi hii

Anakamatwa kila mchochezi wa fujo na vurugu wa nchi hii
 
But not in this government
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…