Mnakataa Ndoa kuhalalisha Uzinzi

Watoto waliozaliwa bila ndoa wakalelewa na mama tu hawatajua thamani ya ndoa, na wao hawatatamani kuoa/kuolewa, wataona mtindo alioishi mama yao bila mume ni mtindo wa maisha mzuri
 
Watoto waliozaliwa bila ndoa wakalelewa na mama tu hawatajua thamani ya ndoa, na wao hawatatamani kuoa/kuolewa, wataona mtindo alioishi mama yao bila mume ni mtindo wa maisha mzuri
Sio kweli bwana acha kupotosha
 
Umenena vyema
 
Reactions: Tsh
Kwamba ambao wameoa sio wazinzi ? 🤡

Kwa nini Yesu na Paulo hawakutimiza mpango wa huyo Mungu ?
 


Kuna:

  • Wenye ndoa
  • Wenye wake 5
  • Wanaonekana wadini
  • Na wengine wengi

Wazizi na waesharti wa kutupa..

Ndoa, kwa jamii ya sasa sio suluhisho la ngono na sex kwa mwanaume.
 
Mkuu maovu yanafanywa na watu wasiojitambua na kutambua utu wao na wa watu wengine , haijalishi katoka kwenye ndoa au lah , faida ya ndoa ni kurahisishia serikali na dini ili watu waweze kutawalika kirahisi.
 
Hakuna.

Swali langu umejibu lakini au unazidi kutunga ya kwako tu ?
Swali lako ni YESU alikuwa mzinzi? Nikakuuliza tafsiri ya uzinzi ukasema kufanya ngono na wanawake wengi nikakuuliza kama YESU alifanya na wanawake wengi ukasema hakuna aliofanya nao hivyo jibu ni HAKUWA MZINZI. Sasa kama na wewe una sifa za YESU hata usipooa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…