Mnakataa Ndoa kuhalalisha Uzinzi

Ndoa inatoa Emotional Support... Wewe ukipata shida kuna mambo uwezi kumshirikisha rafiki, au ndugu.... Utataka umshirikishe mtu wa karibu kabisa ambaye ni mwenza... Ukiwa hauna mwenza unakufa kibudu
Umeona sasa akili zako zilivyo. Nyie watu mlio oa na mnao sifia ndoa sijui mna akili gani ?
 
Hao ni mawakala wa shetani, mashoga na wasagaji.
 
Hii mada inawahusu
Mama Mwana & gigabyte watetezi wa uzinzi...
Rubish kabisa.
Sio hivyo mkuu.Wewe fwatilia tu taratibu utagundua swala la ndoa limeshakosa uhalali mbele za watu wanaotafakari kwa kina.Ndoa ilianzishwa na binadamu kama ilivyo dini.na uko tunakoenda ndo inazidi kua swala la hovyo ndo maana kila mtu anajifanyia ya kwake.Ila yale aliyoaanzisha Mungu mwenyewe yako vile vile kwa viumbe vyote,angalia kiwango cha watu kujamiiana na watu kuzaana na takwimu za ndoa ndo itajua maisha halisi na yakutengeneza.
 
Kama mtu ana sexual desire, kwa nini aizuie kama anaonuwezo wa kisex! Ukiwa na njaa unakula ushibe, tena unakula vyakula tofauti tofauti kulingana na uhitaji. Kwa nini ngono ionekane mbaya wakati ni hitaji muhimu la bonadamu! Acha kupotosha, KUOA SIYO LAZIMA.
 
ndugu hujui tu,walio kwenye ndoa wazinzi balaa...tunakulaga wake zao na waume zao wankulaga mademu zetu...watu wameoa ili wafuliwe na kupikiwa tu
 
Kubwa single haimaanishi una furaha, uko salama, na kadharika... Upweke upelekea usongo wa mawazo
okay uko sawa,,,lakini ebu jiulize una ndoa lakini mkeo/mumeo anakunjima unjyumba,mkeo/mumeo ni m2 wa makelele,,meo/mumeo nimchepukaji,,,,,,na mkeo au mumeo ni vuvuzela na hukuheshimu naameshakupa gono na kaswende mara kadhaa,,,nijibu,,,ndoa ya ivyo na kuwa single kipi kinaleta msongo wa mawazo????????????????????????
 
wewe ni jiniazi,,,,kula K-VANT!!
 
Ndoa ni utapeli ni faida kwa mke na watoto tu mfano unajipinda unateseka kujenga nyumba ukimaliza ni ya mwanamke na watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…