Mnakataa Ndoa kuhalalisha Uzinzi

Mnakataa Ndoa kuhalalisha Uzinzi

Kumekuwa na Wimbi kubwa aina ya Tsunami ambalo limekuwa likijinadi kuhusu kukataa Ndoa, likitoa sababu mbalimbali za kujitetea.

Lakini mtu anayekataa Ndoa anakabili vipi hisia zake. Binadamu tumeumbwa na Sexual Desire (Matamanio ya kufanya ngono) for pleasure, yani kwa ajili ya kujiburudisha. Na hali hii ya matamanio ya ngono umkumba kila mtu, mpaka wazee.

Kukataa Ndoa maana yake, unakuwa mtu huru, ukiwa mtu huru na ukapatwa na sexual desire, matamanio ya kufanya Ngono maana yake unayaondoa vipi hayo matamanio...

Njia ambazo hutumika kuondoa sexual desire Moja ni kujichua na nyingine ni kufanya mapenzi na watu tofauti tofauti, kama ni mwanaume atakuwa anatafuta wadada wa one night stand (Penzi la usiku mmoja) mfano malaya au wanawake watakao kuwa rahisi. Na kama ni Mwanamke basi atajirahishisha kwa mwanaume hili aweze kukizi haja zake. Na wanawake aina hii wengi wanatumia neno "Kudanga" kama kichaka cha kuondoa hamu ya tendo la ndoa, na wengi wao uchepuka na waume za watu, huku wakijificha kwenye kivuli cha Single Mother.

Maana yake ni kwamba watu wanaokataa Ndoa ni watu wanaofanya uzinzi hili kukizi matamanio yao ya mwili.

Kubali Ndoa kataa Uzinzi.
Kuna waliooa na bado wanafanya hicho unachokiita uzinzi. Wanaokataa ndoa hawakatai kuchakata mbususu au mahusiano ya kimapenzi baina ya jinsia mbili wanachokataa ni mfumo wa ndoa umewekwa kama security kwa mwanamke na insecurity kwa mwanaume. Ndio ipo kwa ajiri ya kumnufaisha mwanamke. Binafsi sitaooa mpaka sheria ya ndoa ifanyiwe marekebisho yatakayoniridhisha.
 
naunga mkono hoja yako!!!!!,,unao unafikiri uko peke yako kumbe kuna majamaa yanamtawanya mavuzi kila mara!!!
 
Huyu mwamba ni wale watu wa kataa ndoa sasa leo kaomba mzigo kabaniwa kaambiwa asubiri asiwe na haraka, ila kwa stori alizonipa ni kwamba kaichezea haswaa,

Sasa ile demu anarudi nyumbani kakuta watu washalala milango imefungwa ikabidi aende nyumbani kwa msela maana walikuwa chocho wakati wanachezeana,

Haija pita hata saa mshikaji kanipigia simu kwamba demu kamfuata nyumbani kwao sasa kwa dalili anazoziona ni kwamba huyo demu kuondoka inaweza kuwa ngumu, je? mwamba atumie mbinu gani maana anaishi tu home kwa wazee na kamzidi demu kama miaka karibia 20 hivi.
 
Binti 16
Mshkaji kamzidi 20 hivyo, hiyo ni sawa na umri wa miaka around 36 yani mnaikaribia 40 Ila mazingira ya story ni kama teenagers ambao wanachemkwa na balehe ya kuifukuzia 20 yrs.

Kwa kuwa ndege wafananao huruka pamoja, hata wewe unatakiwa kupewa ushauri mkuu.. Sio kwa ubaya Ila mna kautoto
 
Sijaelewa. Huyo binti ana miaka 16 na jamaa ana 36?
Yaani 36 yupo kwao?
Yaani, 36 alikua ana mchezea binti vichochoroni?

Kataa ndoa wamefikaje hapo jamaa ameoa au?
Naomba utpe stry sawa ndugu
 
Mwambiee kijana akatae NDOA hvyo hvyo km Hana uwakikaa wa maishà maana km mpk ss anaishi kwao n km Bado ajajipataa ,hvyo km Dem hapajui kwao azime cm akaushee .

Ila kama nyegee mshindo zitamuongoza ampitishee Kwa dirisha akalowekee then Dem apate mimba isiyotarajiwa atuongezee single mother mwingine mtaan na maishà yakimshinda huyo single mother wahun tunaokataa ndoa tukunane naye telegram Kwa bei nafuu tukumsaidie kumlea mtt Kwa vidusko vyetu hv hv vya kuunga unga [emoji23][emoji23]

Waleteeeeeeeeeee

Kataa ndoaaa
 
Kumekuwa na Wimbi kubwa aina ya Tsunami ambalo limekuwa likijinadi kuhusu kukataa Ndoa, likitoa sababu mbalimbali za kujitetea.

Lakini mtu anayekataa Ndoa anakabili vipi hisia zake. Binadamu tumeumbwa na Sexual Desire (Matamanio ya kufanya ngono) for pleasure, yani kwa ajili ya kujiburudisha. Na hali hii ya matamanio ya ngono umkumba kila mtu, mpaka wazee.

Kukataa Ndoa maana yake, unakuwa mtu huru, ukiwa mtu huru na ukapatwa na sexual desire, matamanio ya kufanya Ngono maana yake unayaondoa vipi hayo matamanio...

Njia ambazo hutumika kuondoa sexual desire Moja ni kujichua na nyingine ni kufanya mapenzi na watu tofauti tofauti, kama ni mwanaume atakuwa anatafuta wadada wa one night stand (Penzi la usiku mmoja) mfano malaya au wanawake watakao kuwa rahisi. Na kama ni Mwanamke basi atajirahishisha kwa mwanaume hili aweze kukizi haja zake.

Na wanawake aina hii wengi wanatumia neno "Kudanga" kama kichaka cha kuondoa hamu ya tendo la ndoa, na wengi wao uchepuka na waume za watu, huku wakijificha kwenye kivuli cha Single Mother.

Maana yake ni kwamba watu wanaokataa Ndoa ni watu wanaofanya uzinzi hili kukizi matamanio yao ya mwili.

Kubali Ndoa kataa Uzinzi.
sisi ma paroko unatuambiaje sasa
 
Back
Top Bottom