Mnakomaa kupata Tume Huru ya Uchaguzi, mnadhani itawaweka madarakani?

Kwani mimi ni mwanaCcm? Mimi nashangaa kwa nini wewe na wanaCdm hoja yenu ya katiba mpya na tume mpya mnaikomalia huku mkidai kuwa matokeo mabaya uchaguzi 2020 ndio sababu ya kudai tume huru na katiba mpya. Je itawafikisha?
Corona inazidi kuwakombeni
 
Naona safari hii unatumia zaidi Id hii kuanzisha post zako. Ile ya chagu iko likizo kidogo?
We jamaa nimekuafuatilia una msongo wa mawazo kushindwa uchaguzi mkuu. Unaharisha uharo humu Jf. Nahisi pia ni mlevi.
 
Kwani mimi ni mwanaCcm? Mimi nashangaa kwa nini wewe na wanaCdm hoja yenu ya katiba mpya na tume mpya mnaikomalia huku mkidai kuwa matokeo mabaya uchaguzi 2020 ndio sababu ya kudai tume huru na katiba mpya. Je itawafikisha?

Huna ujualo zaidi ya kupiga Siasa mfu hapa jukwaani, rudi ofisini kwenu wakakuonyeshe katiba mpya na tume huru ilianza kudaiwa lini. Unadhani tume huru imeanza kudaiwa siku umejiunga hapa jf?
 
Kwa hiyo unakataa wewe siyo MATAGA! Nataka niweke kumbukumbu zangu sawa ili utolewe kwenye ule mgao wa buku 7 kwa siku.
 
Unajua kwann ccm wanaogopa tume huru ya uchaguzi?? Ukweli no kuwa wanajua tume huru ndio itakayowatoa madarakani
Kwa mujibu wa ibara ya 190 ya rasimu ya katiba ya JMT iliyoundwa na tume ya Jaji warioba ni kuwa kutakuwa na tume huru.

Mwenyekiti, makamu mwenyekiti na wajumbe saba wa tume watakuwa wanateuliwa na rais. Kama mwenyekiti akitoka bara,makamu atatoka Zanzibar vivyo hivyo makamu akitoka Zanzibar mwenyekiti atatoka bara.

Pia ibara ya 191 imeanisha kuwa kutakuwa na kamati ya uteuzi. Ambayo itachambua majina ya waliomba kisha kumpelekea rais na yeye atateua jina walilopitisha. Na kisha jina kurudishwa bungeni na kisha kuthibitishwa na bunge.

Je hao wajumbe wa kamati ya uteuzi mnajua wanapatikana vipi? Hata kama nafasi za Ujaji zitakuwa ni za kuomba kisha kuteuliwa na rais mnajua watakuwa na mamlaka gani? Hawatakuwa na nasaba za kisiasa?

Hao wataoomba nafasi za kuingia tume huru ya uchaguzi mtakuwa na uhakika hawana nasaba za kisiasa?

My take; Kama mnataka kuingia madarakani ni bora mkajenga imani kwa wananchi kuwa nyie ni wanansiasa mnaofaa kwa kila namna. Maana hata ikipatikana hiyo mnayoita tume huru mtapigwa tu.
 
Huna ujualo zaidi ya kupiga Siasa mfu hapa jukwaani, rudi ofisini kwenu wakakuonyeshe katiba mpya na tume huru ilianza kudaiwa lini. Unadhani tume huru imeanza kudaiwa siku umejiunga hapa jf?
Nasema hivi baada ya matokeo mabaya ya 2020. Mwamakula amewapiga upofu na kujifanya mnakomaa. Je hii ndio suluhu kama wananchi hatuna imani na nyie?
 
We jamaa nimekuafuatilia una msongo wa mawazo kushindwa uchaguzi mkuu. Unaharisha uharo humu Jf. Nahisi pia ni mlevi.

Pitia michango yangu toka nimejiunga hapa jf, wakati huo ukiwa uko chuo cha chama kujifunza propaganda michango yangu iko vipi, kisha uje uangalie toka umejiunga iko vipi. Halafu narudia tena, ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Kwa mujibu wa ibara ya 190 ya rasimu ya katiba ya JMT iliyoundwa na tume ya Jaji warioba ni kuwa kutakuwa na tume huru.

Mwenyekiti, makamu mwenyekiti na wajumbe saba wa tume watakuwa wanateuliwa na rais. Kama mwenyekiti akitoka bara,makamu atatoka Zanzibar vivyo hivyo makamu akitoka Zanzibar mwenyekiti atatoka bara.

Pia ibara ya 191 imeanisha kuwa kutakuwa na kamati ya uteuzi. Ambayo itachambua majina ya waliomba kisha kumpelekea rais na yeye atateua jina walilopitisha. Na kisha jina kurudishwa bungeni na kisha kuthibitishwa na bunge.

Je hao wajumbe wa kamati ya uteuzi mnajua wanapatikana vipi? Hata kama nafasi za Ujaji zitakuwa ni za kuomba kisha kuteuliwa na rais mnajua watakuwa na mamlaka gani? Hawatakuwa na nasaba za kisiasa?

Hao wataoomba nafasi za kuingia tume huru ya uchaguzi mtakuwa na uhakika hawana nasaba za kisiasa?

My take; Kama mnataka kuingia madarakani ni bora mkajenga imani kwa wananchi kuwa nyie ni wanansiasa mnaofaa kwa kila namna. Maana hata ikipatikana hiyo mnayoita tume huru mtapigwa tu.
Mawazo yako huwa ni ya hovyo sana humu Jf.

Wewe kama Idugunde Tume huru ya uchaguzi na katiba mpya . Vinakuathiri nini ?! Kwanini uvipinge ?!
 
Kwa mujibu wa ibara ya 190 ya rasimu ya katiba ya JMT iliyoundwa na tume ya Jaji warioba ni kuwa kutakuwa na tume huru.

Mwenyekiti, makamu mwenyekiti na wajumbe saba wa tume watakuwa wanateuliwa na rais. Kama mwenyekiti akitoka bara,makamu atatoka Zanzibar vivyo hivyo makamu akitoka Zanzibar mwenyekiti atatoka bara.

Pia ibara ya 191 imeanisha kuwa kutakuwa na kamati ya uteuzi. Ambayo itachambua majina ya waliomba kisha kumpelekea rais na yeye atateua jina walilopitisha. Na kisha jina kurudishwa bungeni na kisha kuthibitishwa na bunge.

Je hao wajumbe wa kamati ya uteuzi mnajua wanapatikana vipi? Hata kama nafasi za Ujaji zitakuwa ni za kuomba kisha kuteuliwa na rais mnajua watakuwa na mamlaka gani? Hawatakuwa na nasaba za kisiasa?

Hao wataoomba nafasi za kuingia tume huru ya uchaguzi mtakuwa na uhakika hawana nasaba za kisiasa?

My take; Kama mnataka kuingia madarakani ni bora mkajenga imani kwa wananchi kuwa nyie ni wanansiasa mnaofaa kwa kila namna. Maana hata ikipatikana hiyo mnayoita tume huru mtapigwa tu.
Inawezekana kabisa hiyo tume isiwe huru kabisa ila wenda uhuru wake usilingane na hii inayoitwa tume huru, na wenda ikawa tofauti kabisa na iliyopo kwasasa.
 
Nasema hivi baada ya matokeo mabaya ya 2020. Mwamakula amewapiga upofu na kujifanya mnakomaa. Je hii ndio suluhu kama wananchi hatuna imani na nyie?

Narudia tena acha utoto dogo, angalia tume huru ya uchaguzi ilianza kudaiwa lini, ukishajua hilo ndio uje ujadiliane na wanaume hapa jukwaani. Unachokifanya hapa ni kuanika uzoba wako hadharani.
 
CCM haina jipya, wananchi wameichoka...

CCM inatumia nguvu kubwa kubaki madarakani... Wamenunua wapinzani, wame chakachua matokeo ya uchaguzi mkuu, wali haribu uchaguzi wa serikali za mitaa... Wanazuia maandamano na mikutano ya kisiasa...

Mtu Kama upendwi uwezi kulazimisha kupendwa... Hilo Ni suala la muda tu.
 
Narudia tena acha utoto dogo, angalia tume huru ya uchaguzi ilianza kudaiwa lini, ukishajua hilo ndio uje ujadiliane na wanaume hapa jukwaani. Unachokifanya hapa ni kuanika uzoba wako hadharani.
Usinitishe we jamaa,kama kuanza hata kama ni 1990. Je, hii itabadilisha mfumo wa upendeleo kwenye tume kama mnavyolalamika? Maana hata ikiwa kama tume ya warioba ilivyopendekeza hao wanaopitishwa kisha kuteuliwa na rais wataacha kuwa na mizengwe kama manavyolalamika? Tumia akili acha ushamba wa kisiasa.
 
Nime kuuliza, unajua maana ya Tume huru?
Kama ujui usiendelee kutetea upuuzi

Ile katiba iliyopendekezwa ni takataka ndio maana ikapuuzwa
 
Back
Top Bottom