Mnakomaa kupata Tume Huru ya Uchaguzi, mnadhani itawaweka madarakani?

Mtatoana roho bure ebu jaribuni kujadili hii topic bira mihemko ya vyama nazan apo jb litakua zuri na lenye manufaa ila hii ya CCM na CHADEMA mtatukanana sana
 
Only moron people think like you .
 
Kwa hiyo kutetea jambo la haki lazima likufaidishe wewe, wapenda haki ni Wana WA Mungu na Wana nafasi malum kwenye ufalme Wake
 
Issue sio kuingia madarakani bali ni heshima ya mwananchi kujichagulia kiongozi ndo kilaumbele! Dharau imekithiri zama hizi. Mnawashi disha watu kwenye foleni za uchaguzi na mvua na jua halafu kwenye matokeo mnamtangaza mnayemtaka. Upuuzi gani huu!!
 
Sasa kama mnakimbia na mabox ya kura kuna uchaguzi kwel hapo we nguchiro
 
Ulishiriki uchaguzi?
Kama unadhani upinzani haupo kwenye mioyo ya wananchi kwanini unahangaika kuandika insha kila leo JF? Siyo lazima CDM kiingilie madarakani, mazingira halali ya ushindani wa kisiasa uwepo ili wananchi wachague mgonbea wanayemtaka siyo kulazimisha kupitia bila kipingwa na wizi Wa kura.
 
Msikilize huyo bosi wako wakati ana akili zake timamu
Inaa maana watu wana utaalamu wa "brain and mind change"? Au ni vipi huwezekana ghafla namna ile? Mimi ndiyo maana naogopa siasa Wakuu. Yaani inakuaje? Humu JF kuna wataalamu wengi tunaomba maelezo toshelezi kuweza kufanikisha jambo kama hili. Halafu weka na zile video alizozungumza baada ya kubadilishwa, zikisema upinzani hauwezi shinda uchaguzi. Weka pamoja asisee tuone sura na sauti moja ikitoa hotuba zinazokinzana huku akiwa ameshikilia microphone.
 
Kuna watu inabidi muendelee kuomba chama kilichopo madarakan kiendelee daima, maana siku kikitoka madarakani, hakika hamtakaa mpate amani ya mioyo na miili yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…