TheGreatest Of AllTime
JF-Expert Member
- Mar 14, 2025
- 207
- 679
Sasa miaka hiyo pesa za mishahara nk,zilikuwa zinapelekwa mashuleniHao majambazi walifuata nini shuleni chaki au madaftari, hii stori ina nini ndani yake...!
Walifata mishaharaHao majambazi walifuata nini shuleni chaki au madaftari, hii stori ina nini ndani yake...!
Zamani ada na michango mingine ilikuwa ikilipwa shuleni kwenye ofisi ya bursor na inawezekana ikahifadhiwa hapo kabla ya kupelekwa bank kesho yake.Hao majambazi walifuata nini shuleni chaki au madaftari, hii stori ina nini ndani yake...!
Sasa miaka hiyo pesa za mishahara nk,zilikuwa zinapelekwa mashuleni
Mfumo wa kibenki ulikuwa hautumiki
Anyway hao majambazi walikuwa njaaa kali
Ova
Duh! Kweli tumetoka mbali..Zamani ada na michango mingine ilikuwa ikilipwa shuleni kwenye ofisi ya bursor na inawezekana ikahifadhiwa hapo kabla ya kupelekwa bank kesho yake.
Jamaa walivamia kwa lengo ya kuiba hizo pesa.
ππ₯Ήπ₯Ήπ₯ΉKuna mtu kaniambia hapa, Jamaa kwanza alikuwa sukari ya warembo, wale wadada wa evening program, Form Six 2003- EGM, mpole sana.
Nazidi kusimuliwa hapa, wale majambazi walivamia usiku kama wa saa moja hadi saa 4 usiku wakitokea pori la kambini kwa bakabaka.
Naambiwa, zamani mshahara ulikuwa unaletwa, au pesa yoyote ilikuwa inaletwa, sio benki kama sasa, jamaa wakanusa, wakavamia pale jengo la Utawala kwa mhasibu, kulikuwa na madarasa na wengine walikuwa wanasoma nje.
Zikapigwa juu pyu pyu, ikatoka amri hakuna kukimbia, jamaa akakimbia wenzake wakalala chini, akapigwa ya mguu, mpaka anafika hosptali damu zimevuja za kutosha. AKAFARIKI.
Naambiwa, vijana wa Mabweni ya Mapinduzi, Ujamaa na wale waliokuwa madarasa ya nyuma, wakaanza kukimbia kuelekea porini uelekeo wa Kisarawe.
Naambiwa, majambazi hayakuiba kitu, walishindwa kuvunja lile kabati la chuma kwa burser. Wakaondoka.
Alibakiza miezi isiyozidi mitatu kumaliza Form Six 2003. Tukio lilitokea kati ya Februari na Mei 2003.
Namuambia huyu boss aliyenipa stori, inawezekana kiroho, dhumuni halikuwa pesa, dhumuni lilikuwa huyu kijana ambaye leo angekuwa Msomi mbobevu wa Uchumi, Uhasibu nk. Roho chafu huwa zinamfuata mtu popote, zinaweza kutoka Kijiji cha MASAKI, KISARAWE zikamfuata mtu mwenye feature huko PARIS, UFARANSA ili zitimize lengo la maagano ya uharibifu kwa sababu nyepesi tu.
RIP TEDSON MASATU
Unawakandia sana askari waliokula kiapo bwasheeInasikitisha sana ,hao majambawazi walifata MCHUZI tu ,kama lengo lilikuwa kumuua huyo kijana wasingempiga ya mguu,alijichanga kukimbia kama wadau walivyosema.
Zamani majambazi walikuwa ni maaskari wetu(Polisi/wajeda) wakikosa pesa wanaingia field kuiba.
Inasikitisha sana ,hao majambawazi walifata MCHUZI tu ,kama lengo lilikuwa kumuua huyo kijana wasingempiga ya mguu,alijichanga kukimbia kama wadau walivyosema.
Zamani majambazi walikuwa ni maaskari wetu(Polisi/wajeda) wakikosa pesa wanaingia field kuiba.
Mkuu kipindi hicho na nyuma yake majambazi yanayotumia silaha walikuwa wengi hasa Dar. Nakumbuka mjomba wangu alikuwa na maduka ya jumla Dar, wakamlia ''timing'' asubuhi kama saa nne anapeleka fedha za mauzo za jana yake benki. Ile anatoka mlangoni mwa duka, ikaja gari moja kwa kasi sana na kuamuru kila mtu alale chini. Alikuwa na watu wengine wawili na wote wakatii. Baada ya majambazi kuchukuwa fedha wakaamua kupiga risasi chini, ikatifua mchanga. Waliendlea kulala kama dakika tano wakati majambazi wameshaondoka. Na mbaya zaidi mjomba alijinyea hivyo alivyo alivyoamka uharo ukawa unachuruzika.Sasa miaka hiyo pesa za mishahara nk,zilikuwa zinapelekwa mashuleni
Mfumo wa kibenki ulikuwa hautumiki
Anyway hao majambazi walikuwa njaaa kali
Ova