Mwafrikamtanzania
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,215
- 1,594
HAkikA, cASh eCONOmy ni JaNGA sANa. NiMeiKUMbukA iShu ya JUStiNe KASUSUrA ya MwAka 2002Cashless economy ni nzuri sana, imepunguza ujambazi wa silaha kwa asilimia kubwa sana. Enzi za yule Bwana wa ngunguri, ilikuwa kuvamiwa na majambazi dakika tu. Changamoto sasa imekuwa, wizi wa kimtandao, hawa wanaofanya hivi wengi ni wale wavaa tai kwenye hizo taasisi.
Wewe ndio umesema kweli, michango ilikuwa inalipwa cashZamani ada na michango mingine ilikuwa ikilipwa shuleni kwenye ofisi ya bursor na inawezekana ikahifadhiwa hapo kabla ya kupelekwa bank kesho yake.
Jamaa walivamia kwa lengo ya kuiba hizo pesa.
Basi majambazi kuna mtu aliwapa info kuwepo na hela hapoMishahara? Sio kweli bwana, huo mwaka kama sikosei hata ATM zilikuwepo. Hata miaka ya 90 huko haukuwepo utaratibu wa kupeleka mishahara shuleni
Nakumbuka mkuu, nilikuwa kidato cha pili hapo mwaka 2003,Huyu atakuwa kasoma na Bro JITU BANDIA atupe ABCs kama atakuwa analifahamu hili
Bora yeye hata hakuua mtu. Kuna jirani yetu mmoja aliolewa na wale jamaa wa Kaki, kumbe yule Mkaki alikuwa na kazi zaidi ya moja, halali na haramu.HAkikA, cASh eCONOmy ni JaNGA sANa. NiMeiKUMbukA iShu ya JUStiNe KASUSUrA ya MwAka 2002
Mkuu, vifo vya kufa mtu mmoja kwenye tukio la watu wengi huwa lina maswali mengi sanaKweli kabisa mkuu huenda walimroga huyu watu wa kijijini kwao kwa sababu hao majambazi mwisho wa siku hata hawakuchukua chochote
Cc LIKUD
Kuna mtu ameandika hapo, Msimbazi Polisi waliwahi kuibiwa pesa, ilikuwa faini ya barabarani?2003 walimu walifuata mishahara yao halmashauri na kupanga foleni dirishani kupokea pesa taslimu.
Hilo la mishahara kupelekwa shuleni ni jipya! Labda walifuata ada na michango mingine ya wanafunzi sababu ililipwa cash shuleni.
Nasikia hadi Vyuo Vikuu walikuwa wanapokelea dirishani miaka ya nyuma huko.Hapana mishahara huchukuliwa huko itokako na kugawiwa kwa mtumishi mmoja mmoja. Tuliita mishahara dilishani
Jamaa ali ipa funzo cash economy 😄HAkikA, cASh eCONOmy ni JaNGA sANa. NiMeiKUMbukA iShu ya JUStiNe KASUSUrA ya MwAka 2002