Mnakurupuka sana: Cuba inapata mafuta na gas kutoka Venezuela

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Polepole yupo sawa kabisa gas za kupikia na mafuta Cuba ni ndogo sana kwasababu hawapati na hawalipi bei ya sokoni wanapewa kama bure kutoka Venezuela kwasasa Cuba nayo inapeleka madakrati na ni nchi rafiki. Hivyo kulinganisha nchi kama Cuba nchi ambayo iko kwenye vikwazo na inasaidia na marafiki ni tofauti sana na nchi zinazo nunua mafuta kwenye soko huru. Tatizo letu hata wasomi hawaelewi vizuri uchumi wanakurupuka na umapepe mwingi. Hivyo Polepole yuko sawa lakini kikubwa ni sababu sio uchawa uchawa

The Nature of the Exchange

  • Oil for Services:
    .

    Venezuela provides Cuba with vital oil supplies, including propane gas, at subsidized rates.
  • Cuban Contributions:
    .

    In return, Cuba sends thousands of doctors, teachers, and other specialists to Venezuela.
Why the Exchange is Important for Cuba
  • Energy Shortages:
    .

    Cuba has faced severe energy shortages, exacerbated by fires that reduced its oil storage capacity in 2022.

  • Reliable Partner:
    .

    Venezuela has been a critical supplier, with its oil shipments accounting for about three-quarters of Cuba's energy imports.

  • Blackouts:
    .

    The lack of oil has led to frequent blackouts and complicated the distribution of domestic fuel.
Historical Context
  • Longstanding Alliance:
    The oil-for-services trade began under Hugo Chávez with agreements to provide oil at a discount in return for Cuban expertise in healthcare and education.

  • Economic Viability:
    While the compensation paid by Venezuela for Cuban services hasn't always been at market value, it has provided critical support to both economies.
 
Sasa Haya majibu yote huyo Kamwaga atayapataje na ile selfie yake jana nje ya ubalozi wa Cuba…?
 
Hata ikiwa shiling 500, kweli mnamsumbua yule mzee na kitambi chake aende Google. Mara ubalozini?
Hivi Kamwaga yumo humu au ? Naona anashambuliwa kama mpira wa corner. Ameyataka… aje sasa ajibu hoja za watu in real time… aeleweke
 
sasa kwanini asinge google huu ukweli !!! ni uchawa tu
Hivi Kamwaga yumo humu au ? Naona anashambuliwa kama mpira wa corner. Ameyataka… aje sasa ajibu hoja za watu in real time… aeleweke
 
Polepole yupo sawa kabisa gas za kupikia na mafuta Cuba ni ndogo sana kwasababu hawapati na hawalipi bei ya sokoni wanapewa kama bure kutoka Venezuela kwasasa Cuba nayo inapeleka madakrati na ni nchi rafiki.
Machawa hawataki kukubali ukweli kwa sababu ya kupumbazwa na watawala mafisadi.

Hata kwa Iran tu ukiwa na pesa sawa na sh2,500 za Tanzania unapata lita 30+ za petrol kwa mujibu wa maelezo ya mashuhuda kwenye video hapa chini (kuanzia dk ya 8:28)..

View: https://youtu.be/EcBr430km-I?si=AUhjl0szPODh38UI
 
Polepole yupo sawa kabisa gas za kupikia na mafuta Cuba ni ndogo sana kwasababu hawapati na hawalipi bei ya sokoni wanapewa kama bure kutoka Venezuela kwasasa Cuba nayo inapeleka madakrati na ni nchi rafiki. Hivyo kulinganisha nchi kama Cuba nchi ambayo iko kwenye vikwazo na inasaidia na marafiki ni tofauti sana na nchi zinazo nunua mafuta kwenye soko huru. Tatizo letu hata wasomi hawaelewi vizuri uchumi wanakurupuka na umapepe mwingi. Hivyo Polepole yuko sawa lakini kikubwa ni sababu sio uchawa uchawa

The Nature of the Exchange

  • Oil for Services:
    .

    Venezuela provides Cuba with vital oil supplies, including propane gas, at subsidized rates.
  • Cuban Contributions:
    .

    In return, Cuba sends thousands of doctors, teachers, and other specialists to Venezuela.
Why the Exchange is Important for Cuba
  • Energy Shortages:
    .

    Cuba has faced severe energy shortages, exacerbated by fires that reduced its oil storage capacity in 2022.

  • Reliable Partner:
    .

    Venezuela has been a critical supplier, with its oil shipments accounting for about three-quarters of Cuba's energy imports.

  • Blackouts:
    .

    The lack of oil has led to frequent blackouts and complicated the distribution of domestic fuel.
Historical Context
  • Longstanding Alliance:
    The oil-for-services trade began under Hugo Chávez with agreements to provide oil at a discount in return for Cuban expertise in healthcare and education.

  • Economic Viability:
    While the compensation paid by Venezuela for Cuban services hasn't always been at market value, it has provided critical support to both economies.
KUMBE WANAPEANA KIRAFIKI NA SI BIASHARA AU MANUNUZI YANAFANYIKA BASI NI HAKI KUGAWA BURE KWA WANANCHI KUFIDIA WALAU USAFIRISHAJI TU KWA 2000/-,LAITI WANGELIKUWA WANAINUNUA GAS HIYO BEI HIZO ZA BWANA POLEPOLE ZISINGEWEZEKANA KAMWE,KUMBE POLEPOLE NI MBUMBUMBU HAKUJUA HATA CHANZO CHA UPATIKANAJI WA GAS,THE MAN IS STUPID,ANGETAKIWA AUKAGUE MNYORORO WA BIASHARA HUSIKA KABLA YA KUTAMKA LOLOTE,MFANO TZ GAS TUNANUNUA KUGAWA HAIWEZEKANI.
#POLEPOLE NI MJINGA SANA.
 
Back
Top Bottom