Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 8,072
- 8,942
Hivi Kamwaga yumo humu au ? Naona anashambuliwa kama mpira wa corner. Ameyataka… aje sasa ajibu hoja za watu in real time… aeleweke
Nashangaa kama naye alisomea uandishi wa habari😂😂😂😂
Hivi Kamwaga yumo humu au ? Naona anashambuliwa kama mpira wa corner. Ameyataka… aje sasa ajibu hoja za watu in real time… aeleweke
Unagundua polepole ni mjinga sana hakufanya tafiti juu ya mfumo wa gas jinsi Cuba inavyopatikana aliropoka tu kama MWEHU.Bora wewe umeleta majibu ya maana.
Unagundua polepole ni mjinga sana hakufanya tafiti juu ya mfumo wa gas jinsi Cuba inavyopatikana aliropoka tu kama MWEHU.
Wagonjwa mpo lumumbaUnaumwa?