Unataka iwe ngapi?Sasa ndio Gesi iwe buku mbili kweli
Unashangaa kitu gani? Mbona healthcare yao ni buku zero ingawa ni ya hali ya juu sana?Sasa ndio Gesi iwe buku mbili kweli
Hata bure ingewezekanaSasa ndio Gesi iwe buku mbili kweli
Sasa Haya majibu yote huyo Kamwaga atayapataje na ile selfie yake jana nje ya ubalozi wa Cuba…?Polepole yupo sawa kabisa gas za kupikia na mafuta Cuba ni ndogo sana kwasababu hawapati na hawalipi bei ya sokoni wanapewa kama bure kutoka Venezuela kwasasa Cuba nayo inapeleka madakrati na ni nchi rafiki. Hivyo kulinganisha nchi kama Cuba nchi ambayo iko kwenye vikwazo na inasaidia na marafiki ni tofauti sana na nchi zinazo nunua mafuta kwenye soko huru. Tatizo letu hata wasomi hawaelewi vizuri uchumi wanakurupuka na umapepe mwingi. Hivyo Polepole yuko sawa lakini kikubwa ni sababu sio uchawa uchawa
The Nature of the Exchange
Why the Exchange is Important for Cuba
- Oil for Services:
.
Venezuela provides Cuba with vital oil supplies, including propane gas, at subsidized rates.- Cuban Contributions:
.
In return, Cuba sends thousands of doctors, teachers, and other specialists to Venezuela.
Historical Context
- Energy Shortages:
.
Cuba has faced severe energy shortages, exacerbated by fires that reduced its oil storage capacity in 2022.
- Reliable Partner:
.
Venezuela has been a critical supplier, with its oil shipments accounting for about three-quarters of Cuba's energy imports.
- Blackouts:
.
The lack of oil has led to frequent blackouts and complicated the distribution of domestic fuel.
- Longstanding Alliance:
The oil-for-services trade began under Hugo Chávez with agreements to provide oil at a discount in return for Cuban expertise in healthcare and education.
- Economic Viability:
While the compensation paid by Venezuela for Cuban services hasn't always been at market value, it has provided critical support to both economies.
Gadaffi aliwapa wananchi wake elimu, maji, umeme na afya bure. Na bado ilikuwa kijana akitaka kuoa anapewa 80M kuanzia maisha. Upo nyonyo???Sasa ndio Gesi iwe buku mbili kweli
Sasa ndio Gesi iwe buku mbili kweli
Sasa Haya majibu yote huyo Kamwaga atayapataje na ile selfie yake jana nje ya ubalozi wa Cuba…?
Hivi Kamwaga yumo humu au ? Naona anashambuliwa kama mpira wa corner. Ameyataka… aje sasa ajibu hoja za watu in real time… aelewekeHata ikiwa shiling 500, kweli mnamsumbua yule mzee na kitambi chake aende Google. Mara ubalozini?
Hivi Kamwaga yumo humu au ? Naona anashambuliwa kama mpira wa corner. Ameyataka… aje sasa ajibu hoja za watu in real time… aelewekesasa kwanini asinge google huu ukweli !!! ni uchawa tu
Machawa hawataki kukubali ukweli kwa sababu ya kupumbazwa na watawala mafisadi.Polepole yupo sawa kabisa gas za kupikia na mafuta Cuba ni ndogo sana kwasababu hawapati na hawalipi bei ya sokoni wanapewa kama bure kutoka Venezuela kwasasa Cuba nayo inapeleka madakrati na ni nchi rafiki.
Aliwahi kuwa Meneja wa Simba SC 😂😂Hivi Kamwaga yumo humu au ? Naona anashambuliwa kama mpira wa corner. Ameyataka… aje sasa ajibu hoja za watu in real time… aeleweke
Nyinyi wachawi wa hapo CCM mnaweza kufanya hayo?Unashangaa kitu gani? Mbona healthcare yao ni buku zero na ni ya hali ya juu sana?
Unashangaa gesi kuwa buku mbili, lakini hushangai kuna nchi elimu ni bure..!!???Sasa ndio Gesi iwe buku mbili kweli
Halafu bado anajimwambafai na selfie Zake pale ubalozi Kama kwamba ndio Cuba yenyewe ile au?Aliwahi kuwa Meneja wa Simba SC 😂😂
Unaumwa?Nyinyi wachawi wa hapo CCM mnaweza kufanya hayo?
Hata bure ingewezekana
KUMBE WANAPEANA KIRAFIKI NA SI BIASHARA AU MANUNUZI YANAFANYIKA BASI NI HAKI KUGAWA BURE KWA WANANCHI KUFIDIA WALAU USAFIRISHAJI TU KWA 2000/-,LAITI WANGELIKUWA WANAINUNUA GAS HIYO BEI HIZO ZA BWANA POLEPOLE ZISINGEWEZEKANA KAMWE,KUMBE POLEPOLE NI MBUMBUMBU HAKUJUA HATA CHANZO CHA UPATIKANAJI WA GAS,THE MAN IS STUPID,ANGETAKIWA AUKAGUE MNYORORO WA BIASHARA HUSIKA KABLA YA KUTAMKA LOLOTE,MFANO TZ GAS TUNANUNUA KUGAWA HAIWEZEKANI.Polepole yupo sawa kabisa gas za kupikia na mafuta Cuba ni ndogo sana kwasababu hawapati na hawalipi bei ya sokoni wanapewa kama bure kutoka Venezuela kwasasa Cuba nayo inapeleka madakrati na ni nchi rafiki. Hivyo kulinganisha nchi kama Cuba nchi ambayo iko kwenye vikwazo na inasaidia na marafiki ni tofauti sana na nchi zinazo nunua mafuta kwenye soko huru. Tatizo letu hata wasomi hawaelewi vizuri uchumi wanakurupuka na umapepe mwingi. Hivyo Polepole yuko sawa lakini kikubwa ni sababu sio uchawa uchawa