Mnanufaikaje na watoto, ndugu, au marafiki wanaofanya kazi huko nje ya nchi?

Mnanufaikaje na watoto, ndugu, au marafiki wanaofanya kazi huko nje ya nchi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kumekuwa na shauku kwa vijana wengi kutamani kwenda kufanya kazi nje ama kuishi nje.

Tukitegemea kuishi kwao nje, watafanya mambo makubwa hapa nchini, kama vile umiliki wa viwanda, umiliki wa makampuni makubwa n.k

Lakini haya yote hayaonekani, tatizo ni nini? Au nyie mnanufaikaje kwa hao jamaa zenu kuwa nje?​
 
Back
Top Bottom