Mnanufaikaje na watoto, ndugu, au marafiki wanaofanya kazi huko nje ya nchi?

Mnanufaikaje na watoto, ndugu, au marafiki wanaofanya kazi huko nje ya nchi?

Viwanda/company, kutoweka taarifa openly nafikiri ndio sababu ya sisi kushindwa kuona/kutambua lakini wanafanya vitu vya kueleweka...

Ningetoa mfano wa kiwanda + kiwanda cha usindikaji pilipili lakini si sahihi kuweka info wazi, wanajitahidi kuona fursa kidogo.
Ndio wanatakiwa waanze kuamka
 
Viongozi wenu wasilale, wakiona watu watu wanajitutumua kwenye fursa nao huona fursa kuwakandamiza na mambo ya ajabu.
Nadhani sisi wenyewe bado hatujaamua kuamka tu; kuna maeneo yanauza laki kwa eka, sasa kama wangewekeza ufugaji wa ng'ombe na kuuza maziwa ingekuwa tatizo?​
 
Back
Top Bottom