Mnanufaikaje na watoto, ndugu, au marafiki wanaofanya kazi huko nje ya nchi?

Mtegemea cha ndugu hufa maskini chief na kimfaae mtu chake chief unauliza unanufaikaje kwa mali za ngugu zako waliko nnje ww mtoto wakiume muombe connection nawe huende huko uone kama rahisi kama unavyoandika hapa uone kama nawe utatuma hata mia kwa hao ndugu zako
 
Huenda wanafanya makubwa lakini hatufahamu....
 
Kama huo ndiyo msaada kwa ndugu zako wa karibu, Hata hao jamaa wanaofanya kazi nje ya nchi msaada wao wanakupa mawazo ya kuwaza kuwa wanafanya kazi nje
Tatizo hatuoni matokeo
 
Kwa mazingira hayo si bora aje apambane na kilimo huku
 
Tafuta hela wewe acha kutegemea kunufaika kupitia watu wsliojilipua na kwenda kutafuta maisha sehemu ambapo hawana ndugu yeyote.

Onesha kwanza namna watakavyonufaika na wewe kabla hujafikiria kunufaika kupitia waoe.
Tunawashirikisha vingi, huku kuna fursa za kutosha, ardhi ipo, 'cheap labur' wapo wa kutosha
 
Makubwa kama yapi, uchimbaji wa mafuta au?
Viwanda/company, kutoweka taarifa openly nafikiri ndio sababu ya sisi kushindwa kuona/kutambua lakini wanafanya vitu vya kueleweka...

Ningetoa mfano wa kiwanda + kiwanda cha usindikaji pilipili lakini si sahihi kuweka info wazi, wanajitahidi kuona fursa kidogo.
 
Punguza matarajio kwenye maisha ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…