Mnaoamini Mungu, kwenye vichwa vyenu mna "imagine" sawa jinsi alivyo?

Hapana tulikuwa hatufikirii jibu moja.
Je nanyi mnaoamini Mungu mnamajibu tofauti vichwani mwenu kuhusu yeye?
 
Wee mpagani umekula Maharage ya wapi?
Hapana mkuu.. Jamaa sio mpagani..! Hili kosa kubwa sana kumuita mpagani. Mpagani ni mtu yeyote asiyeamini miungu ya mainstream religion (abrahamic religions to be precise) wale wanaoabudu nature and other things ndo tunaweza waita wapagani na kiujumla dini hizi huitwa paganism.

Mimi na huyo jamaa (mleta mada) pamoja na wengine kama akina @freeideas unaweza kutuita Atheists, na hii haimaanishi kuwa tunaimani or tunadhani.. Sisi tuko sure kuwa hakuna mungu. Yaani this is beyond a belief. Its a fact..! Kama tungesema tunadhani pekee or hatuna uhakika kama yupo or hayupo, basi tungeitwa agnostic..! [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kama hamjawahi kumwona na hamjui mfanano wake, vichwa vyenu v8namuwaza sawa? yeye anajua mnatofautiana kumuwaza?
Hebu labda eleza unachotaka kukieleza baada ya hayo maswali pengine unaweza kueleweka.
 
Hatujengi taswira yoyote ila ni imani tu, km iliyokuaminisha wewe Mungu hayupo .
 
Nyuzi za marudio hizi...


Au ndio jambo likisemwa sana litageuka kuwa kweli?
 
Mbona unapenda kunitisha?
Unajua km Mungu yupo hupaswi kunitisha, kwani mwisho wa siku si wewe wala mimi tutakufa, tena waweza tangulia ww
Nadhani katika maisha yako umeshawahi kutishwa, kweli hayo maneno hapo ni kitisho kwako?
 
Ufafanuzi kidogo:-

Imani haina mapungufu, ila mwamini ndiye mwenye mapungufu ndiyo maana kila siku anatakiwa ajifunze kanuni za imani yake ili aboreshwe na kuyapunguza hayo mapungufu yake kama si kuyamaliza kabisa.
 
Kuna siku atamini mungu yupo na anaweza,siku inakuja atakubali tuu
 
Naamini mungu yupo kwa 100% na hakuna nguvu ishindayo nguvu ya mungu.
 
Kiundani kabisa,kila mtu ana picha tofauti ya kitu kinachoitwa Mungu.Hizi dini/imani ni mapokeo tu ya kizazi hadi kizazi.
 
Ila,jambo la kishangaza kabisa ni urahisi wetu wa kufanya mzaha na maisha ya mtu. Hapa ndipo dhana na ufahamu kuhusu Mungu unapotumiKa vibaya kuliko kawaida. Ndugu, tafakari na tumia vizuri hali ya kumjua Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…