Naona unausaka uteuzi kwa nguvu lakini kama unakuja hivi laana inakunasa hupati uteuzi ng’oo , Tanzania hakuna uchaguzi umefanyika zaidi ya CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani hilo halina ubishi hata uje na Maelezo gani hakuna mwenye Akili timamu atakaa akubali utetezi wenu CCM kwani kila kitu kipo wazi hadi vipofu wanajua.Watalaamu wa Sheria wanasema anayetoa shutuma ndie anayethibitisha. Iwe ni kwenye kesi ya aina yoyote ile.
CHADEMA na ACT-Wazalendo mnasema kuwa mmeibiwa kura. Na madai haya yamekuja baada ya matokeo kutoka.
Lakini kiuhalisia hivi mlitegemea watanzania wampigie kura Lissu? Maana mimi binafsi nikikaa na watu na kufanya nao mazunguzo ana kwa ana wengi utasikia wanatoa kauli moja tu, Rais Magufuli amepiga kazi na alistahili kushinda. Kwa ufupi wanakubali kazi alizofanya hasa kuimarisha kila sekta.
Baada ya matokeo,zimeibuka tuhuma kuwa kura zilipigwa kabla. Je zilipigiwa wapi? Ni akina nani walizipiga? Ni nani alizipeleka vituoni kwenda kuzijaza kwenye masanduku? Je mawakala wenu walikuwa wapi wakati haya yanafanyika?
Je, mna ushahidi gani wa kuweza kuuthibitishia umma na mahakama juu ya hizi tuhuma?
Ushahidi wa picha za watu wakichoma karatasi za kupigia kura huku sura zao hazionekani ni utoto, na kuleta picha kutoka Twitter za watu wameshika karatasi za kupigia kura ni utoto pia. Maana sidhani kama unakubalika mahakamani.
Tulia Mkuu. Unabii unathibitishwa kwa yaliyotabiriwa kutimia. Ndio maana nimeanisha pale vuta subira unabii utimie naona wako wengi kama wewe mna haraka ya kujibu. Subiri na uhifadhi hizi post.Mungu hapangiwi kazi yake. Usihusishe msiba wa binadamu na manabii wa uongo.
We thibitisha dhuluma iliyofanyika kwa kujibu nilichouliza.
Bado unashinda ukivuta Bangi hapo gheto kwa cyprian Musiba? Unataka uketewe uthibitisho hapo kijiweni kwako?Kwa hiyo ndio kusema mlikuwa mnasingizia uongo baada ya kushindwa? Nafasi ya urais kwani mlikuwa mnaitaka? Wabunge na madiwani waende wakathibitishe hizi tuhuma...
Acha majibu yako ya kihuni. Hujui wapi panatakiwa kupeleka uthibitisho?Bado unashinda ukivuta Bangi hapo gheto kwa cyprian Musiba? Unataka uketewe uthibitisho hapo kijiweni kwako?
Wapiga kura wengi wameporwa haki zao na CCM wanaendelea kumlilia mungu huku mungu akiendelea kusikia vilio vyao kwa upole mpaka wote wamalize vizuri ndipo mungu ataamua cha kufanya, haki ya mtu haipotei ingawa Haki yaweza kucheleweshwa kwa mda lakini hupatikana tu.Tulia Mkuu. Unabii unathibitishwa kwa yaliyotabiriwa kutimia. Ndio maana nimeanisha pale vuta subira unabii utimie naona wako wengi jama wewe mna haraka ya kujibu. Subiri na uhifadhi hizi post.
Mungu hapangiwi lakini anasikiliza sana maombi ba vilio vya watu wake.
Akisha sikiza ndio anatoa majibu. Unadhani Taifa lote hili hakuna watu ambao Mungu wakimwomba hajibu maombi yao.
Kila mtu ana imani yake cha msingi.
Vuta sibira
Our laugh comes last
minyoo uteuzi wa nini? Kwani ili maisha yaende mpaka upate uteuzi. Watanzania wanataka ukweli jinsi huu ulivyobakwa na kunajisiwa. Na mahakama zipo.Naona unausaka uteuzi kwa nguvu lakini kama unakuja hivi laana inakunasa hupati uteuzi ng’oo , Tanzania hakuna uchaguzi umefanyika zaidi ya CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani hilo halina ubishi hata uje na Maelezo gani hakuna mwenye Akili timamu atakaa akubali utetezi wenu CCM kwani kila kitu kipo wazi hadi vipofu wanajua
Wapiga kura walioichagua Ccm ambao leo hii wanafaidi matunda ya kazi nzuri ya serikali ya awamu ya tano, wanakuona kama mpuuzi ambae unalia baada ya kukosa maslahi baada ya Chadema kufutika.Wapiga kura wengi wameporwa haki zao na CCM wanaendelea kumlilia mungu huku mungu akiendelea kusikia vilio vyao kwa upole mpaka wote wamalize vizuri ndipo mungu ataamua cha kufanya, haki ya mtu haipotei ingawa Haki yaweza kucheleweshwa kwa mda lakini hupatikana tu.
Kwa hiyo ni maswali ya uongo? Acha hasira kamanda.Nimefungua uzi nikijua nitakutana na maswali ya kweli kumbe....!!!
Kachunge n'gombe zako.
Uthibitisho upewe wewe ili iweje wakati wewe tayari umekariri kuwa CCM ni malaika CCM ni mungu hawana dhambi na hawakuiba kura , ulishajiona nyie ni watu safi hata ukipewa uthibitisho gani utakataa, bora tukupe haya haya majibu upate kuzinduka uache kuwaza uteuzi na kujitoa fahamu kienyeji kishamba kwa njia haramu za kishetani.Acha majibu yako ya kihuni. Hujui wapi panatakiwa kupeleka uthibitisho?
Hamna mtu anayewaza uteuzi maana wanaoteuliwa hawana lolote. Kuna watu wanakula bata bila hata kupata uteuzi. Hapa tunazungumzia ukweli wa mambo ambao wapuuzi wachache mnapotosha. Kwa hiyo mahakama zipo ili msibitishe kuwa haukuwa huru na wabunge na madiwani wenu waliibiwa.Uthibitisho upewe wewe ili iweje wakati wewe tayari umekariri kuwa CCM ni malaika CCM ni mungu hawana dhambi na hawakuiba kura , ulishajiona nyie ni watu safi hata ukipewa uthibitisho gani utakataa, bora tukupe haya haya majibu upate kuzinduka uache kuwaza uteuzi na kujitoa fahamu kienyeji kishamba kwa njia haramu za kishetani.
Upuuzi ni kuona kuwa kuna watu waliichagua CCM wakati hakuna mpiga kura mwenye Akili timamu aliichagua CCM, matunda unayofaidi ni kupiga trilion 1.5 kisha mkamtoa CAG kafara, kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge huku Ndungai akikupa mgao kwenye zile bilion 12 alipiga akiwa India peke yake, matunda unafaidi mengi hata 10% ununuzi wa Ndege kwa cash umepata mgao, kwenye SGR una tenda zako kwenye flyover una mgao ni kweli wewe ni mnufaika mpaka wa blackmail za kuwabambikia kesi kesi watu mbalimbali, wewe matunda yote ya ufedhuri wa CCM unayafaidi vizuri mno.Wapiga kura walioichagua Ccm ambao leo hii wanafaidi matunda ya kazi nzuri ya serikali ya awamu ya tano, wanakuona kama mpuuzi ambae unalia baada ya kukosa maslahi baada ya Chadema kufutika.
Hakuna uchaguzi umefanyika Tanzania zaidi ya CCM kufanya vioja maigizo ya kuuhadaa ulimwengu kuwa kulikuwa na uchaguzi TanzaniaWasipoamini mahakama za ndani waende hata Uingereza, wakija na huo uthibitisho nchi ni yao wala hakuna haja ya uchaguzi kurudiwa.
Mahakamaccm tokea lini itoe haki kwa chadema ACT? Ukweli upi unazungumzia? Unakula bata kwa sababu Tenda zote za kusuply vifaa vya ujenzi umepewa weweHamna mtu anayewaza uteuzi maana wanaoteuliwa hawana lolote. Kuna watu wanakula bata bila hata kupata uteuzi. Hapa tunazungumzia ukweli wa mambo ambao wapuuzi wachache mnapotosha. Kwa hiyo mahakama zipo ili msibitishe kuwa haukuwa huru na wabunge na madiwani wenu waliibiwa.
Umeandika nini hapa kama sio upuuzi?Upuuzi ni kuona kuwa kuna watu waliichagua CCM wakati hakuna mpiga kura mwenye Akili timamu aliichagua CCM, matunda unayofaidi ni kupiga trilion 1.5 kisha mkamtoa CAG kafara, kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge huku Ndungai akikupa mgao kwenye zile bilion 12 alipiga akiwa India peke yake, matunda unafaidi mengi hata 10% ununuzi wa Ndege kwa cash umepata mgao, kwenye SGR una tenda zako kwenye flyover una mgao ni kweli wewe ni mnufaika mpaka wa blackmail za kuwabambikia kesi kesi watu mbalimbali, wewe matunda yote ya ufedhuri wa CCM unayafaidi vizuri mno.
Chadema hamna hoja mnatoa shutuma kwa kuhisi tu. Na hili ndio limewagharimu.Mahakamaccm tokea lini itoe haki kwa chadema ACT? Ukweli upi unazungumzia? Unakula bata kwa sababu Tenda zote za kusuply vifaa vya ujenzi umepewa wewe
Huu upumbavu huwe unaita mamako na babako man adithiana ikiwezekana chumbaniWatalaamu wa Sheria wanasema anayetoa shutuma ndie anayethibitisha. Iwe ni kwenye kesi ya aina yoyote ile.
CHADEMA na ACT-Wazalendo mnasema kuwa mmeibiwa kura. Na madai haya yamekuja baada ya matokeo kutoka.
Lakini kiuhalisia hivi mlitegemea watanzania wampigie kura Lissu? Maana mimi binafsi nikikaa na watu na kufanya nao mazunguzo ana kwa ana wengi utasikia wanatoa kauli moja tu, Rais Magufuli amepiga kazi na alistahili kushinda. Kwa ufupi wanakubali kazi alizofanya hasa kuimarisha kila sekta.
Baada ya matokeo,zimeibuka tuhuma kuwa kura zilipigwa kabla. Je zilipigiwa wapi? Ni akina nani walizipiga? Ni nani alizipeleka vituoni kwenda kuzijaza kwenye masanduku? Je mawakala wenu walikuwa wapi wakati haya yanafanyika?
Je, mna ushahidi gani wa kuweza kuuthibitishia umma na mahakama juu ya hizi tuhuma?
Ushahidi wa picha za watu wakichoma karatasi za kupigia kura huku sura zao hazionekani ni utoto, na kuleta picha kutoka Twitter za watu wameshika karatasi za kupigia kura ni utoto pia. Maana sidhani kama unakubalika mahakamani.
Upuuzi umekujaa na kwa kuwa umegundua una upuuzi sasa kaa utafakari acha kusaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani tafuta pesa kwa njia halaliUmeandika nini hapa kama sio upuuzi?