Watalaamu wa Sheria wanasema anayetoa shutuma ndie anayethibitisha. Iwe ni kwenye kesi ya aina yoyote ile.
CHADEMA na ACT-Wazalendo mnasema kuwa mmeibiwa kura. Na madai haya yamekuja baada ya matokeo kutoka.
Lakini kiuhalisia hivi mlitegemea watanzania wampigie kura Lissu? Maana mimi binafsi nikikaa na watu na kufanya nao mazunguzo ana kwa ana wengi utasikia wanatoa kauli moja tu, Rais Magufuli amepiga kazi na alistahili kushinda. Kwa ufupi wanakubali kazi alizofanya hasa kuimarisha kila sekta.
Baada ya matokeo,zimeibuka tuhuma kuwa kura zilipigwa kabla. Je zilipigiwa wapi? Ni akina nani walizipiga? Ni nani alizipeleka vituoni kwenda kuzijaza kwenye masanduku? Je mawakala wenu walikuwa wapi wakati haya yanafanyika?
Je, mna ushahidi gani wa kuweza kuuthibitishia umma na mahakama juu ya hizi tuhuma?
Ushahidi wa picha za watu wakichoma karatasi za kupigia kura huku sura zao hazionekani ni utoto, na kuleta picha kutoka Twitter za watu wameshika karatasi za kupigia kura ni utoto pia. Maana sidhani kama unakubalika mahakamani.
KWA Sasa watu hasilimia 70 hawako huko ,Cha msingi we mwenyewe jijibu mwenyewe watu wanafikilia mengine ya mbele zaidi,Watalaamu wa Sheria wanasema anayetoa shutuma ndie anayethibitisha. Iwe ni kwenye kesi ya aina yoyote ile.
CHADEMA na ACT-Wazalendo mnasema kuwa mmeibiwa kura. Na madai haya yamekuja baada ya matokeo kutoka.
Lakini kiuhalisia hivi mlitegemea watanzania wampigie kura Lissu? Maana mimi binafsi nikikaa na watu na kufanya nao mazunguzo ana kwa ana wengi utasikia wanatoa kauli moja tu, Rais Magufuli amepiga kazi na alistahili kushinda. Kwa ufupi wanakubali kazi alizofanya hasa kuimarisha kila sekta.
Baada ya matokeo,zimeibuka tuhuma kuwa kura zilipigwa kabla. Je zilipigiwa wapi? Ni akina nani walizipiga? Ni nani alizipeleka vituoni kwenda kuzijaza kwenye masanduku? Je mawakala wenu walikuwa wapi wakati haya yanafanyika?
Je, mna ushahidi gani wa kuweza kuuthibitishia umma na mahakama juu ya hizi tuhuma?
Ushahidi wa picha za watu wakichoma karatasi za kupigia kura huku sura zao hazionekani ni utoto, na kuleta picha kutoka Twitter za watu wameshika karatasi za kupigia kura ni utoto pia. Maana sidhani kama unakubalika mahakamani.
wewe jitoe ufahamu tu na maziganyanga yenu haya mliompikia MEKO wenuWatalaamu wa Sheria wanasema anayetoa shutuma ndie anayethibitisha. Iwe ni kwenye kesi ya aina yoyote ile.
CHADEMA na ACT-Wazalendo mnasema kuwa mmeibiwa kura. Na madai haya yamekuja baada ya matokeo kutoka.
Lakini kiuhalisia hivi mlitegemea watanzania wampigie kura Lissu? Maana mimi binafsi nikikaa na watu na kufanya nao mazunguzo ana kwa ana wengi utasikia wanatoa kauli moja tu, Rais Magufuli amepiga kazi na alistahili kushinda. Kwa ufupi wanakubali kazi alizofanya hasa kuimarisha kila sekta.
Baada ya matokeo,zimeibuka tuhuma kuwa kura zilipigwa kabla. Je zilipigiwa wapi? Ni akina nani walizipiga? Ni nani alizipeleka vituoni kwenda kuzijaza kwenye masanduku? Je mawakala wenu walikuwa wapi wakati haya yanafanyika?
Je, mna ushahidi gani wa kuweza kuuthibitishia umma na mahakama juu ya hizi tuhuma?
Ushahidi wa picha za watu wakichoma karatasi za kupigia kura huku sura zao hazionekani ni utoto, na kuleta picha kutoka Twitter za watu wameshika karatasi za kupigia kura ni utoto pia. Maana sidhani kama unakubalika mahakamani.
Kwa hiyo hii inathibitisha nini?wewe jitoe ufahamu tu na maziganyanga yenu haya mliompikia MEKO wenu
View attachment 1620675
Mbele zaidi ni pamoja na kudai ubunge na udiwani mahakamani.KWA Sasa watu hasilimia 70 hawako huko ,Cha msingi we mwenyewe jijibu mwenyewe watu wanafikilia mengine ya mbele zaidi,
Hakuna chama makini Cha upinzani kinaweza kupoteza mda eti kwenda mahakamani kudai ubunge au udiwani ,hakuna mtu makini atapenda pata uongonzi kwa huruma, msimamo ambao ulishatolewa ndo huo,Mbele zaidi ni pamoja na kudai ubunge na udiwani mahakamani.
Unajua matusi tu hata point ya ushahidi wa kura zilizoibiwa hukuiona.Ma changudoa nao wanajikita kwenye siasa.
Hakika tutaendelea kuona mengi.
Kama vile tulivyoona viongozi wa Dini waongo awamu hii.
Umeandika ki pumbavu sana.
Uliandamana?The guilty are afraid - J. H. C
Kwa hiyo umejibu nilichohoji?Eeehhh yaan umejitutumua sanaa kujionyesha una uwezo wa kuhoji
Kumbeee umemwaga wazi Maujinga yako nakila mtu amejua wewe ni mbumbumbuuuuu
Babu mm npo hku mpwapwa najipigia helaKwa hiyo mlidanganya watu kuwa mmeibiwa? Hamuendi mahakamani?
Nyinyi ndiyo mnachelewesha mitandao isifunguliwe, mambo yameshakwisha bado unayaleta tena, au umekuwa mahakama?Watalaamu wa Sheria wanasema anayetoa shutuma ndie anayethibitisha. Iwe ni kwenye kesi ya aina yoyote ile.
CHADEMA na ACT-Wazalendo mnasema kuwa mmeibiwa kura. Na madai haya yamekuja baada ya matokeo kutoka.
Lakini kiuhalisia hivi mlitegemea watanzania wampigie kura Lissu? Maana mimi binafsi nikikaa na watu na kufanya nao mazunguzo ana kwa ana wengi utasikia wanatoa kauli moja tu, Rais Magufuli amepiga kazi na alistahili kushinda. Kwa ufupi wanakubali kazi alizofanya hasa kuimarisha kila sekta.
Baada ya matokeo,zimeibuka tuhuma kuwa kura zilipigwa kabla. Je zilipigiwa wapi? Ni akina nani walizipiga? Ni nani alizipeleka vituoni kwenda kuzijaza kwenye masanduku? Je mawakala wenu walikuwa wapi wakati haya yanafanyika?
Je, mna ushahidi gani wa kuweza kuuthibitishia umma na mahakama juu ya hizi tuhuma?
Ushahidi wa picha za watu wakichoma karatasi za kupigia kura huku sura zao hazionekani ni utoto, na kuleta picha kutoka Twitter za watu wameshika karatasi za kupigia kura ni utoto pia. Maana sidhani kama unakubalika mahakamani.
Viongozi kufanya yao sio sababu ya kutopatiwa ukweli.Nyinyi ndiyo mnachelewesha mitandao isifunguliwe, mambo yameshakwisha bado unayaleta tena, au umekuwa mahakama?
Waacheni viongozi wafanye yao na sisi waongozwa tufanye yetu katika kujipatia riziki. Uchaguzi umekwisha, uchaguzi umekwisha, uchaguzi umekwisha.
Kwa nini mlichapa karatasi kudanganya mmeibiwa?Km mlishafanikiwa kupora kwann msifanye kazi? Maswali ya nini au roho zinawauma
Hilo jambo la ukweli ndilo linalokosekana katika jamii yetu ya watanzania na hasa kutoka kwa wanasiasa.Viongozi kufanya yao sio sababu ya kutopatiwa ukweli.
Pole pole punguza spidiminyoo uteuzi wa nini? Kwani ili maisha yaende mpaka upate uteuzi. Watanzania wanataka ukweli jinsi huu ulivyobakwa na kunajisiwa. Na mahakama zipo.
Mkuu. Naomba usome post yangu na 17 na uilewe. Sio lazima uamini au ukubali niliyoandika. Ngoja nikukumbushe.minyoo uteuzi wa nini? Kwani ili maisha yaende mpaka upate uteuzi. Watanzania wanataka ukweli jinsi huu ulivyobakwa na kunajisiwa. Na mahakama zipo.
Mboja unawashwa kuliko aliyeshindwa?Ni wakati wa kutekeleza ilani sio porojo za uchaguzi!Ndio kusema hamtaki kuthibitisha madai yenu? Na mahakamani hamuendi kudai ubunge na udiwani? Au mlikuwa mnawadanganya Watanzania baada ya kichapo kikali.
Usitumie dini na Mungu kutaka huruma za kisiasa. Weka uthibitisho wa tuhuma za wizi wa kura.Pole pole punguza spidi
Mkuu. Naomba usome post yangu na 17 na uilewe. Sio lazima uamini au ukubali niliyoandika. Ngoja nikukumbushe.
Janga la Corona limetoweka Tanzania baada ya Mungu kuingilia kati kuiponya nchi hii baada ya watu wa Mungu kumwomba Mungu. Sio ujanja au maarifa ya kiongozi yeyote yule, hilo halina ubishi. Tulichofanya sisi wengine walijaribu kama Brazil wamekufa wengi sana na nchi nyingine.
Sasa Mungu huyo huyo kupitia manabii hao hao wametoa unabii ambao CCM hawataupenda rejea post #17
Hii ni " equation " ambayo CCM wamejisahau, katika mahesabu yao.
Narudia tena. Unaweza ukadharau au usiamini lakini matatozo ya CCM yameanza baada ya kushinda uchaguzi.
" Our laugh comes last"