Mnaodai kuwa mmeibiwa kura tunaomba uthibitisho wa haya maswali ya msingi

Mleta mada ni mnufaika wa ushetani wote wa CCM ndiyo maana kajitoa fahamu zote bila Aibu
minyoo tafadhali mimi kutaka watanzania tupate ukweli juu ya tuhuma za wizi wa kura sio sababu ya kunipazia uongo. Naona umeanza kuvuta bangi huku unashushia na Konyagi.
 
Upuuzi umekujaa na kwa kuwa umegundua una upuuzi sasa kaa utafakari acha kusaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani tafuta pesa kwa njia halali
Ungejua hao wateule hawana lolote usingesema. Kuna watu wana kazi muhimu sana hapa Tanzania kuliko hata kuteuliwa na rais.
 
Chadema hamna hoja mnatoa shutuma kwa kuhisi tu. Na hili ndio limewagharimu.
Wewe ndiyo hauna hoja, hakuna kitu kimeigharimu chadema zaidi ya CCM kutumia NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm kupora haki za wapiga tu, chadema wanajua wananchi waliwachagua vizuri kwa Amani.
 
minyoo tafadhali mimi kutaka watanzania tupate ukweli juu ya tuhuma za wizi wa kura sio sababu ya kunipazia uongo. Naona umeanza kuvuta bangi huku unashushia na Konyagi.
Bado unavuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba? Ukimaliza kuvuta Bangi ukatulia Akili zikarejea soma tena ili siku zingine usikurupuke kuja kusumbua watu mitandaoni na hoja zako za hovyo
 
Ungejua hao wateule hawana lolote usingesema. Kuna watu wana kazi muhimu sana hapa Tanzania kuliko hata kuteuliwa na rais.
Mfano wewe blackmail kuwabambikia kesi kesi watu mbalimbali imekulipa kuliko hata uteuzi siyo?
 
Wewe ndiyo hauna hoja, hakuna kitu kimeigharimu chadema zaidi ya CCM kutumia NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm kupora haki za wapiga tu, chadema wanajua wananchi waliwachagua vizuri kwa Amani.
Nenda Mbamba bay kaulize wananchi wanavyofurahia kupata meli, nenda Kagera na Ukerewe kafanye utafiti baada kupata meli ambazo ni sawa na mpya. Alafu nenda Singida kafanye utafiti juu maendeleo yaliyofanyika. Malizia Chato ndio utapata majibu kwa nini CCM imeshinda kwa kishindo.
 
Mfano wewe blackmail kuwabambikia kesi kesi watu mbalimbali imekulipa kuliko hata uteuzi siyo?
Ahaaa, ndio maana nakuambia wewe ni bwege na mpuuzi. Unabambikiwa kesi bila kuwa na viashiria vya kuhusika?
 
Hakuna uchaguzi umefanyika Tanzania zaidi ya CCM kufanya vioja maigizo ya kuuhadaa ulimwengu kuwa kulikuwa na uchaguzi Tanzania
Uzuri sasa mmeanza kuonyesha ujinga wenu kwa wapiga kura na mtaendelea kuzama mpaka mteketee na hiyo succos yenu inayoongozwa na Mbowe. Hii nchi haistahili kabisa kuongozwa na nyie labda upinzani wa kizazi kingine kinachotumia akili kufukiri
 
Mfano wewe blackmail kuwabambikia kesi kesi watu mbalimbali imekulipa kuliko hata uteuzi siyo?
Nimekuambia kuna watu muhimu na wanafanya kazi muhimu,sio huo upuuzi unaowaza wa kubambikia watu kesi. Mimi blackmail? Acha upuuzi
 
Muambieni Basi mfalme wenu afungue internet! Si keshaapishwa?

Anataka nini?

Anataka atuapishe na sisi?
 
Ahaaa, ndio maana nakuambia wewe ni bwege na mpuuzi. Unabambikiwa kesi bila kuwa na viashiria vya kuhusika?
Wewe ndiyo bwege kwa kutumia blackmail kujipatia pesa kwa njia haramu za kishetani
 
Hivi why trump hakuja jifunza mbinu za kuiba kura kwenye chama chetu pendwa, mnangagwa bila sisi asingeshinda
 
Mmeshashinda halihitaji ata akili kujua kuwa ushindi ulikuwa wa kibabe.sio kuiba
 
Walimu waliosimamia uchaguzi ndo wanafahamu kama kura ziliibiwa au laa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…