Mnaodai kuwa mmeibiwa kura tunaomba uthibitisho wa haya maswali ya msingi

Uwaambie pia na huo uthibitisho waupeleke kwenye Mahakama zipi...

Za humu humu ndani au za nje?



Cc: mahondaw
 
Mungu aonaye kila kitu chini ya jua, ameona na anao ushahidi. Mungu wa haki, asiyelala, ajua kila kitu. Hukumu zake ni za haki.
 
KWA Sasa watu hasilimia 70 hawako huko ,Cha msingi we mwenyewe jijibu mwenyewe watu wanafikilia mengine ya mbele zaidi,
 
wewe jitoe ufahamu tu na maziganyanga yenu haya mliompikia MEKO wenu
 
Mbele zaidi ni pamoja na kudai ubunge na udiwani mahakamani.
Hakuna chama makini Cha upinzani kinaweza kupoteza mda eti kwenda mahakamani kudai ubunge au udiwani ,hakuna mtu makini atapenda pata uongonzi kwa huruma, msimamo ambao ulishatolewa ndo huo,
Uchaguzi si UMEISHA na chama flan kimeshinda kwa kishindo so Mambo mengine yanawahusu wao Kama vyama vya upinzani ,upande ule haiwausu bali waendelee kujenga nchi basi
 
Ma changudoa nao wanajikita kwenye siasa.

Hakika tutaendelea kuona mengi.
Kama vile tulivyoona viongozi wa Dini waongo awamu hii.

Umeandika ki pumbavu sana.
Unajua matusi tu hata point ya ushahidi wa kura zilizoibiwa hukuiona.
 
Nyinyi ndiyo mnachelewesha mitandao isifunguliwe, mambo yameshakwisha bado unayaleta tena, au umekuwa mahakama?
Waacheni viongozi wafanye yao na sisi waongozwa tufanye yetu katika kujipatia riziki. Uchaguzi umekwisha, uchaguzi umekwisha, uchaguzi umekwisha.
 
Km mlishafanikiwa kupora kwann msifanye kazi? Maswali ya nini au roho zinawauma
 
Viongozi kufanya yao sio sababu ya kutopatiwa ukweli.
 
minyoo uteuzi wa nini? Kwani ili maisha yaende mpaka upate uteuzi. Watanzania wanataka ukweli jinsi huu ulivyobakwa na kunajisiwa. Na mahakama zipo.
Pole pole punguza spidi
minyoo uteuzi wa nini? Kwani ili maisha yaende mpaka upate uteuzi. Watanzania wanataka ukweli jinsi huu ulivyobakwa na kunajisiwa. Na mahakama zipo.
Mkuu. Naomba usome post yangu na 17 na uilewe. Sio lazima uamini au ukubali niliyoandika. Ngoja nikukumbushe.

Janga la Corona limetoweka Tanzania baada ya Mungu kuingilia kati kuiponya nchi hii baada ya watu wa Mungu kumwomba Mungu. Sio ujanja au maarifa ya kiongozi yeyote yule, hilo halina ubishi. Tulichofanya sisi wengine walijaribu kama Brazil wamekufa wengi sana na nchi nyingine.

Sasa Mungu huyo huyo kupitia manabii hao hao wametoa unabii ambao CCM hawataupenda rejea post #17

Hii ni " equation " ambayo CCM wamejisahau, katika mahesabu yao.

Narudia tena. Unaweza ukadharau au usiamini lakini matatozo ya CCM yameanza baada ya kushinda uchaguzi.

" Our laugh comes last"
 
Ndio kusema hamtaki kuthibitisha madai yenu? Na mahakamani hamuendi kudai ubunge na udiwani? Au mlikuwa mnawadanganya Watanzania baada ya kichapo kikali.
Mboja unawashwa kuliko aliyeshindwa?Ni wakati wa kutekeleza ilani sio porojo za uchaguzi!
 
Usitumie dini na Mungu kutaka huruma za kisiasa. Weka uthibitisho wa tuhuma za wizi wa kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…