mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,509
- 1,405
Ushahidi gani zaidi unataka? Umepewa mfano ambapo mgombea ubunge amepata sufuri katika kituo ambacho yeye na familia yake ya watu saba wamepiga hapo, sasa imekuwaje hata kura yake mwenyewe isipatikane wacha za wale saba wa familia yake?Watalaamu wa Sheria wanasema anayetoa shutuma ndie anayethibitisha. Iwe ni kwenye kesi ya aina yoyote ile.
CHADEMA na ACT-Wazalendo mnasema kuwa mmeibiwa kura. Na madai haya yamekuja baada ya matokeo kutoka.
Lakini kiuhalisia hivi mlitegemea watanzania wampigie kura Lissu? Maana mimi binafsi nikikaa na watu na kufanya nao mazunguzo ana kwa ana wengi utasikia wanatoa kauli moja tu, Rais Magufuli amepiga kazi na alistahili kushinda. Kwa ufupi wanakubali kazi alizofanya hasa kuimarisha kila sekta.
Baada ya matokeo,zimeibuka tuhuma kuwa kura zilipigwa kabla. Je zilipigiwa wapi? Ni akina nani walizipiga? Ni nani alizipeleka vituoni kwenda kuzijaza kwenye masanduku? Je mawakala wenu walikuwa wapi wakati haya yanafanyika?
Je, mna ushahidi gani wa kuweza kuuthibitishia umma na mahakama juu ya hizi tuhuma?
Ushahidi wa picha za watu wakichoma karatasi za kupigia kura huku sura zao hazionekani ni utoto, na kuleta picha kutoka Twitter za watu wameshika karatasi za kupigia kura ni utoto pia. Maana sidhani kama unakubalika mahakamani.
Waende wakafukunyue makarasi yote kwenye kituo alichopigia alafu atuonyeshe za mgombea wake zilikuwaje. Maana unaweza kugombea Cuf alafu ukapigia Ccm au kura ikaharibika.Ushahidi gani zaidi unataka? Umepewa mfano ambapo mgombea ubunge amepata sufuri katika kituo ambacho yeye na familia yake ya watu saba wamepiga hapo, sasa imekuwaje hata kura yake mwenyewe isipatikane wacha za wale saba wa familia yake?
Kwangu mimi naona kilichoibwa ni zaidi ya kura, ulioibwa ni uchaguzi kwa ujumla. Kuanzia kwenye engua ya upande mmoja, kukataliwa kwa mapingamizi ya upinzani dhidi ya wagombea wa chama tawala- Mwanyika ni mbunge Njombe?, Wagombea wa chama tawala kuvunja hata taratibu, polisi dhidi ya upinzani, tume konyesha mahaba wazi wazi kwa chama tawala, mawakala wa upinzani kukataliwa kuapishwa, kunyimwa baruwa za utambulisho, kuzuiwa kuingia vituoni na kutimuliwa vituoni na mapolisi,............nk,NK,......kwa ujumla uchaguzi ullibwa hata kabla ya kuingiza kura feki.Watalaamu wa Sheria wanasema anayetoa shutuma ndie anayethibitisha. Iwe ni kwenye kesi ya aina yoyote ile.
CHADEMA na ACT-Wazalendo mnasema kuwa mmeibiwa kura. Na madai haya yamekuja baada ya matokeo kutoka.
Lakini kiuhalisia hivi mlitegemea watanzania wampigie kura Lissu? Maana mimi binafsi nikikaa na watu na kufanya nao mazunguzo ana kwa ana wengi utasikia wanatoa kauli moja tu, Rais Magufuli amepiga kazi na alistahili kushinda. Kwa ufupi wanakubali kazi alizofanya hasa kuimarisha kila sekta.
Baada ya matokeo,zimeibuka tuhuma kuwa kura zilipigwa kabla. Je zilipigiwa wapi? Ni akina nani walizipiga? Ni nani alizipeleka vituoni kwenda kuzijaza kwenye masanduku? Je mawakala wenu walikuwa wapi wakati haya yanafanyika?
Je, mna ushahidi gani wa kuweza kuuthibitishia umma na mahakama juu ya hizi tuhuma?
Ushahidi wa picha za watu wakichoma karatasi za kupigia kura huku sura zao hazionekani ni utoto, na kuleta picha kutoka Twitter za watu wameshika karatasi za kupigia kura ni utoto pia. Maana sidhani kama unakubalika mahakamani.
Jikite kujibu maswali niliyouliza. Na uweke uthibitisho. Mambo ya Ccm kumpa mwanyika ubunge waachie wao.Kwangu mimi naona kilichoibwa ni zaidi ya kura, ulioibwa ni uchaguzi kwa ujumla. Kuanzia kwenye engua ya upande mmoja, kukataliwa kwa mapingamizi ya upinzani dhidi ya wagombea wa chama tawala- Mwanyika ni mbunge Njombe?, Wagombea wa chama tawala kuvunja hata taratibu, polisi dhidi ya upinzani, tume konyesha mahaba wazi wazi kwa chama tawala, mawakala wa upinzani kukataliwa kuapishwa, kunyimwa baruwa za utambulisho, kuzuiwa kuingia vituoni na kutimuliwa vituoni na mapolisi,............nk,NK,......kwa ujumla uchaguzi ullibwa hata kabla ya kuingiza kura feki.
Ni vyema ukajadili tatizo katika ukubwa wake na si kuchomoa kipengele kimoja, kura feki zimekamatwa mahali pengi....Jikite kujibu maswali niliyouliza. Na uweke uthibitisho. Mambo ya Ccm kumpa mwanyika ubunge waachie wao.
Upinzani mwaka huu hamkujipanga,kama wakala hana barua ya mtendaji wa mtaa au kitambulisho,sifa hazijatimia unataka awe wakala tu?
Mbona 2015 hamkupata tabu juu ya mawakala? Au sababu pesa ilikuwa nyingi?
Uthibitisho? Jikite kujibu maswali yangu.Ni vyema ukajadili tatizo katika ukubwa wake na si kuchomoa kipengele kimoja, kura feki zimekamatwa mahali pengi....
Ushahidi muulize Lipumba alisema mgombea wake 1 katika kituo chake cha kupigia kura hakupata kura ata 1 ikimaanisha ata yeye mwenyewe eti kuna uwezekano hakujipigia kura? ukitoa familia yake takribani watu 7.Watalaamu wa Sheria wanasema anayetoa shutuma ndie anayethibitisha. Iwe ni kwenye kesi ya aina yoyote ile.
CHADEMA na ACT-Wazalendo mnasema kuwa mmeibiwa kura. Na madai haya yamekuja baada ya matokeo kutoka.
Lakini kiuhalisia hivi mlitegemea watanzania wampigie kura Lissu? Maana mimi binafsi nikikaa na watu na kufanya nao mazunguzo ana kwa ana wengi utasikia wanatoa kauli moja tu, Rais Magufuli amepiga kazi na alistahili kushinda. Kwa ufupi wanakubali kazi alizofanya hasa kuimarisha kila sekta.
Baada ya matokeo,zimeibuka tuhuma kuwa kura zilipigwa kabla. Je zilipigiwa wapi? Ni akina nani walizipiga? Ni nani alizipeleka vituoni kwenda kuzijaza kwenye masanduku? Je mawakala wenu walikuwa wapi wakati haya yanafanyika?
Je, mna ushahidi gani wa kuweza kuuthibitishia umma na mahakama juu ya hizi tuhuma?
Ushahidi wa picha za watu wakichoma karatasi za kupigia kura huku sura zao hazionekani ni utoto, na kuleta picha kutoka Twitter za watu wameshika karatasi za kupigia kura ni utoto pia. Maana sidhani kama unakubalika mahakamani.
Huko mahakamani majaji wote wamechaguliwa na mwenyekiti na mgombea wa chama chenu!!! Ndiyo maana hamtaki katiba ibadilishwe, refa mmemuajiri timu yenu kadi anatoa timu moja tu, kama mnaona ushindani wa kisiasa mbaya mtaona matokeo ya political monopoly na udiktetaKwa hiyo mlidanganya watu kuwa mmeibiwa? Hamuendi mahakamani?
Wewe nitajie Mwaka ambao CCM walipata majimbo Pemba. Halafu utapata jibuWatalaamu wa Sheria wanasema anayetoa shutuma ndie anayethibitisha. Iwe ni kwenye kesi ya aina yoyote ile.
CHADEMA na ACT-Wazalendo mnasema kuwa mmeibiwa kura. Na madai haya yamekuja baada ya matokeo kutoka.
Lakini kiuhalisia hivi mlitegemea watanzania wampigie kura Lissu? Maana mimi binafsi nikikaa na watu na kufanya nao mazunguzo ana kwa ana wengi utasikia wanatoa kauli moja tu, Rais Magufuli amepiga kazi na alistahili kushinda. Kwa ufupi wanakubali kazi alizofanya hasa kuimarisha kila sekta.
Baada ya matokeo,zimeibuka tuhuma kuwa kura zilipigwa kabla. Je zilipigiwa wapi? Ni akina nani walizipiga? Ni nani alizipeleka vituoni kwenda kuzijaza kwenye masanduku? Je mawakala wenu walikuwa wapi wakati haya yanafanyika?
Je, mna ushahidi gani wa kuweza kuuthibitishia umma na mahakama juu ya hizi tuhuma?
Ushahidi wa picha za watu wakichoma karatasi za kupigia kura huku sura zao hazionekani ni utoto, na kuleta picha kutoka Twitter za watu wameshika karatasi za kupigia kura ni utoto pia. Maana sidhani kama unakubalika mahakamani.
2000-2020Wewe nitajie Mwaka ambao CCM walipata majimbo Pemba. Halafu utapata jibu
π π π π π π π π kwanza unaijua Pemba iko wapi au mpaka uingie Maps?2000-2020
Ahaaa. Wakati vurugu zinatokea Pemba ulikuwa umezaliwa?π π π π π π π π kwanza unaijua Pemba iko wapi au mpaka uingie Maps?
Msaada gani utapatikana kutoka kwako wakileta evidence?? tuanzia hapoWatalaamu wa Sheria wanasema anayetoa shutuma ndie anayethibitisha. Iwe ni kwenye kesi ya aina yoyote ile.