Mnaofurahia Mikopo, Sri Lanka pia iIianza kama sisi

Mnaofurahia Mikopo, Sri Lanka pia iIianza kama sisi

Ila kiukwel, tusipofanya jitihada kama taifa tuona mienendo inavyo kwenda ya taifa, tunakwenda kutumbukia kwenye shimo zito ambalo hatutaweza kujinasua, kwa bahati mbaya hakuna anaejari,

Ninahis kunakitu hakipo sawa, ni ama kwa makusudi au kwa bahati mbaya tunaelekea huko, taifa la watu zain ya million 60 tunazungumzia kukopa t2 kwel? Au sa iv akili tumeshikiwa na watu? Au nchi inaendeshwa na zaidi ya ndimi 2?

Kunamsululu wa mambo yanakuja mpka naongopa, sasa najiuliza kama tu mm mtu wa kawaida naona kunahatari, hv hao huo juu hawaoniiii kwel? Au chuma ulete?
 
Walikopa kimya kimya ila wakaweka wazi matumizi na miradi husika tena ya kimkakati.
Sasa wanakopa kwa sauti na kutumia kwa Ukimya.

Ebu nitolee ufafanuzi wa mapato na matumizi yatokanayo na Tozo za miamala inayoendelea?

Ni mradi gani wa kimkakati ambao umetokana na mikopo lukuki inayoendelea kumiminika kwa sasa?
yani nye ningewaona wa maana sana ka kuhoji kwenu kungeanzia kwenye 1.5 trilion na makrokocho mengi ya awamu ya Tano kinyume na hapo mnaonekana wahuni tu na chuki zenu kwa samia
 
Nilikuwa nasikiliza wachambuzi wa CGTN kwamba kinachotokea Sri Lanka ni matokeo ya mikopo iliyopelekea madeni yaliyovuka mipaka na madhara ya ugonjwa wa Coronavirus katika uchumi wa Dunia... Wakataja nchi nane ambazo zitamfuata Sri Lanka
 
Ninatambua uwepo wa hivyo vyote ila sina imani na kila wanachotuambia.

Kwa waziri wa fedha anayetutamkia kwamba kama hatuwezi tuhamie Burundi [emoji1060]....how can I trust the person?
Kama humuamini waziri wako humu utatumia vigezo gani kuyaamini majibu utakayopewa kwamba ni sahihi?
 
Ila kiukwel, tusipofanya jitihada kama taifa tuona mienendo inavyo kwenda ya taifa, tunakwenda kutumbukia kwenye shimo zito ambalo hatutaweza kujinasua, kwa bahati mbaya hakuna anaejari,

Ninahis kunakitu hakipo sawa, ni ama kwa makusudi au kwa bahati mbaya tunaelekea huko, taifa la watu zain ya million 60 tunazungumzia kukopa t2 kwel? Au sa iv akili tumeshikiwa na watu? Au nchi inaendeshwa na zaidi ya ndimi 2?

Kunamsululu wa mambo yanakuja mpka naongopa, sasa najiuliza kama tu mm mtu wa kawaida naona kunahatari, hv hao huo juu hawaoniiii kwel? Au chuma ulete?
Ni kama vile tuna Rais mtendaji ambae haongei.

Halafu tuna Rais msemaji ambae hatendi.

Na wote wanaendesha nchi.
 
Hilo shimo la kudumbukia hatulifikii tu maana tangu enzi za JK hili shimo linaongelewa.
Ukiangalia data za ukubwa wa deni tunalolipa na tunalodaiwa ndio utaelewa,ila kwa wewe ulieshikiwa akili huwezi kuliona.
 
Ila kiukwel, tusipofanya jitihada kama taifa tuona mienendo inavyo kwenda ya taifa, tunakwenda kutumbukia kwenye shimo zito ambalo hatutaweza kujinasua, kwa bahati mbaya hakuna anaejari,

Ninahis kunakitu hakipo sawa, ni ama kwa makusudi au kwa bahati mbaya tunaelekea huko, taifa la watu zain ya million 60 tunazungumzia kukopa t2 kwel? Au sa iv akili tumeshikiwa na watu? Au nchi inaendeshwa na zaidi ya ndimi 2?

Kunamsululu wa mambo yanakuja mpka naongopa, sasa najiuliza kama tu mm mtu wa kawaida naona kunahatari, hv hao huo juu hawaoniiii kwel? Au chuma ulete?
Ramli na mihemko hazvtakusaidia ndugu,tafuta taarifa sahihi
 
Bila Kukopa mtapigika Sana nyie👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220720-060001.png
    Screenshot_20220720-060001.png
    137.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220719-200347.png
    Screenshot_20220719-200347.png
    44.7 KB · Views: 4
Sababu pia wanakuwa hawana uzoefu na mambo ya biashara kwa muda wote wa utumishi wao kwenye sekta za umma.
True helaa ya ofisi ndio ununue tairi na spea, huku ukipewa offer na traffic ya kutokamatwa, daladala nyingi ni za police zipo barabarani sababu wapo ofisini wakistaafu nazo ustaafu barabarani.
 
Ukiangalia data za ukubwa wa deni tunalolipa na tunalodaiwa ndio utaelewa,ila kwa wewe ulieshikiwa akili huwezi kuliona.
Shida ni aliyeanzisha miradi ya matrillion (SGR/ JNHPP) na akawa anakopa kimya kimya anatudanganya nchi hii ni tajiri. Mbaya zaidi hakuna mradi hata mmoja aliokuwa amekwisha kuumaliza (Trillions TZS projects achana na miradi ya billions TZS). SSH kapokea nchi inaviporo vya miradi mikubwa yote inahitaji fedha na uwezo wa makusanyo yetu ya ndani hauwezi finance hiyo miradi na kuendesha huduma za kijamii.

Tunashukuru miradi inakwenda, watu wanapata ajira serikalini, mishahara imeongezwa, ingekuwa mbaya sana kama miradi ya kiongozi wa malaika ingesimama huyu Mama angesemwa sana.

Uzuri njia aliyotumia kiongozi wa malaika ya kukopa kwa kificho yeye ameweka wazi mikopo, na tofauti ya mikopo ya SSH na Sri Lanka, SSH anagusa asasi za kimataifa kwenye mikopo na sio nchi binafsi. Mikopo mingi ni ya World bank na IMF ambayo ina masharti nafuu na maturity ya muda mrefu inatoa nafasi ya nchi kulipa taratibu. Kama una mfano wa mkopo SSH kachukua China tuwekee hapa.

Investiment ya kwenye miundo mbinu ya reli, barabara, madaraja return yake ipo kubwa tutamudu marejesho bila shida.
 
Gesi asilia,Madini lukuki,Mafuta chini ya Ardhi,Bahari kuu,Maziwa makuu,Misitu asilia,Hifadhi za taifa ziko 22,Ardhi yenye rutuba,Mito mikuu inayotiririsha maji mwaka mzima non stop nk...nk....
Hivyo vyote vimekuwepo tangu enzi za babu zetu hukooo!Sasa kwa nini kelele ziwe nyingi kwenye mwaka mmoja tu wa huyu mwanamke madarakani?.
 
Hoja fikilishi, hongera mkuu, najua utapata upinzani kwa ID fake za serikalini. Lakini ujumbe umefika.
 
Nchi yetu inahitaji kuwa na miradi michache tunayoimudu taratibu hata kama itatuchukua miaka 50 kufika tunakutaka
Ila lazima kuwe na sheria za kuwa kila Rais au serikali itafuata palepale alipoishia au ilipoishia

Hatuwezi kila anaekuja anakuja na sera zake na masharti yake
Tunahitaji constitutional yenye nguvu na sio bunch of crooks
 
Kabla ya kuilinganisha Tz na Sri Lanka,ebu tujuzeni kwanza juu ya Sri Lanka katika haya:- UKUBWA WA ENEO,UKUBWA WA ARDHI YA KILIMO,WINGI W RASILIMA,UKUBWA WA ENEO LA UVUVI,IDADI YA WATU, NA JE!PATO LA TAIFA LIPOJE?.

UKIPATA DATA YA HAYO JUU,NJOO SASA ULINGANISHE NA SISI TZ KISHA UONGELEE SUALA LA UKOPAJI.
 
Nchi yetu inahitaji kuwa na miradi michache tunayoimudu taratibu hata kama itatuchukua miaka 50 kufika tunakutaka
Ila lazima kuwe na sheria za kuwa kila Rais au serikali itafuata palepale alipoishia au ilipoishia

Hatuwezi kila anaekuja anakuja na sera zake na masharti yake
Tunahitaji constitutional yenye nguvu na sio bunch of crooks
Hii ndiyo pointi ya muhimu kufanyiwa kazi.
 
Back
Top Bottom