Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
Aisee . . . this is absolutely ridiculousMadarasa yote mapya ni IMF na maboma yote yaliyomaliziwa na Serikali ni pesa za tozo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee . . . this is absolutely ridiculousMadarasa yote mapya ni IMF na maboma yote yaliyomaliziwa na Serikali ni pesa za tozo.
Bado hujanijibu kaka!Madarasa 15,000 kwa wakati mmoja unayejengaje kwa tozo???? Kwa nini usijenge kwa mkopo ukalipa kidogo kidogo kwa tozo? Unajua Darasa 15,000 zimetoa nafasi za ajira za kudumu kwa watanzania wangapi? Unajua multiplier effects za ajira mpya kwenye uchumi??? Ukiweza kudadafua huo mlolongo huwezi uliza swali la kipuuzi kama hilo.
Ni hardware ngapi zimefanya biashara kwa ujenzi wa madarasa 15,000? ni ajira ngapi za muda zimepatikana kipindi cha ujenzi wa hayo madarasa? Ni kodi kiasi gani serikali imekusanya kupitia mlolongo huo wa ujenzi wa madarasa 15,000?
Viwanda vyetu vya Cement, Nondo, Mabati, Rangi zimefanya biashara ya ukubwa gani kipindi cha ujenzi wa darasa 15,000???
Unatuthibitiashiaje wewe kama wewe,wakati sio waziri wa fedha wala mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti?Nikueleze ni madarasa yapi yamejengwa na tozo na yapi ndio ya IMF? [emoji2].
Sikia, fanya hivi, kariri kama watoto wakitumwa dukani halafu wanaimba ili wasisahau.
"madarasa yanajengwa na mkopo halafu tozo na kodi zinalipa mkopo". ×3
Aisee . . . . tushasahau tozo siyeMjinga ni yule anayeamini katika budget ambayo inasomeka bila utekelezaji.
Tuambie kwanza ni wapi mwigulu anakopeleka pesa zitikanazo na Tozo.
Maana ametusomea budget ambayo inaelezea source ya mikopo tupu pamoja na kodi ya wananchi.
Lakini hstujaelezwa Tozo ni kiasi gani kwa kila mwezi na kibaelekezwa wapi kama kipaumbele?
kwani we huoni kwenye vitabu vya matunizi vya wizara ?Unatuthibitiashiaje wewe kama wewe,wakati sio waziri wa fedha wala mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti?
Wewe ndie Taahira maana huwezi kutofautisha kipi kilikuwa awamu ya tano-magufuli na kipi ni awamu ya tano-samia.Una utaahira kama wote.
Hujaona hapo ujenzi wa vyuo vya veta 100 Nchi nzima? Hujaona barabara? Hujaona uwekezaji wa Kilimo cha umwagiliaji?
Nimeuliza miaka 5 mlikuwa mnafanya nini ilhali hakuna mradi mliumaliza?
Kama sio utaahira ni nini?Kama hujui inachofanya basi wewe ni taahira wa kiwango cha lami..
Nimeshatoa Orodha humu ya mambo inayofanya ila unaropoka tuu..
Moja ya hayo mambo tangible ni ajira zaidi ya 32,000 mwaka ulioisha..
Uliza jingine.
unaona kinachoendelea sri lanka ? unakumbuka kilichotokea ugiriki ?Maisha mafupi acha tukope,huwez endelea bila kukopa kama inakukera hama nchi,tafuta nchi yako isiokopa kaishi huko
safi kabisaBado hujanijibu kaka!
Wananchi tunataka au tunastahili kujulishwa matumizi ya pesa zitokanazo na Tozo.
Kama inawezekana kutoa maelezo ya matumizi ya mkopo kutoka IMF.
Kwa nini tusipewe maelezo na ufafanuzi wa matumizi ya Tozo zetu?
Ukitaka kuamini sisi ni failures hebu angalia mpaka leo tunajenga VETA na madarasa tena kwa mkopo? What a fuc**Una utaahira kama wote.
Hujaona hapo ujenzi wa vyuo vya veta 100 Nchi nzima? Hujaona barabara? Hujaona uwekezaji wa Kilimo cha umwagiliaji?
Nimeuliza miaka 5 mlikuwa mnafanya nini ilhali hakuna mradi mliumaliza?
Ya MkapaNijibu kwaza Kuna hawamu ambayo haijawai kukopa?
Nilikuwa namjibu taahira mwenzio hapo juu..Kama sio utaahira ni nini?
Yaani unakopa ili uje kuajiri?
Halafu muendelezo wake utakuwa nini baadae?
Jibu swali miaka 5 mlikuwa mnafanya nini hujajibu unazunguka zunguka kama tairi la baiskeli..Wewe ndie Taahira maana huwezi kutofautisha kipi kilikuwa awamu ya tano-magufuli na kipi ni awamu ya tano-samia.
Hiyo awamu ya sita inatumia ilani ipi ya uchaguzi ya CCM na iliinadi lini kwa wananchi?
Leta Takwimu zako basiAisee . . . this is absolutely ridiculous
Jiwe mbona amekopa Sana,Tena alivunja record"Af" "hawamu" "Samahia" "hualisia"
Kama hayo tu yanakutatiza kuandika basi huwezi jua ninachokimaanisha.
Wewe endelea kushikiwa akili.
Halafu kwako na wenzako mliozowea kutumwa mnadhani kila mtu humu ni mtumwa?
Change your Mindset Please!