Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,475
- 1,860
yani nye ningewaona wa maana sana ka kuhoji kwenu kungeanzia kwenye 1.5 trilion na makrokocho mengi ya awamu ya Tano kinyume na hapo mnaonekana wahuni tu na chuki zenu kwa samiaWalikopa kimya kimya ila wakaweka wazi matumizi na miradi husika tena ya kimkakati.
Sasa wanakopa kwa sauti na kutumia kwa Ukimya.
Ebu nitolee ufafanuzi wa mapato na matumizi yatokanayo na Tozo za miamala inayoendelea?
Ni mradi gani wa kimkakati ambao umetokana na mikopo lukuki inayoendelea kumiminika kwa sasa?
Kama humuamini waziri wako humu utatumia vigezo gani kuyaamini majibu utakayopewa kwamba ni sahihi?Ninatambua uwepo wa hivyo vyote ila sina imani na kila wanachotuambia.
Kwa waziri wa fedha anayetutamkia kwamba kama hatuwezi tuhamie Burundi [emoji1060]....how can I trust the person?
Hilo shimo la kudumbukia hatulifikii tu maana tangu enzi za JK hili shimo linaongelewa.Ila kiukwel, tusipofanya jitihada kama taifa tuona mienendo inavyo kwenda ya taifa, tunakwenda kutumbukia kwenye shimo zito ambalo
Ni kama vile tuna Rais mtendaji ambae haongei.Ila kiukwel, tusipofanya jitihada kama taifa tuona mienendo inavyo kwenda ya taifa, tunakwenda kutumbukia kwenye shimo zito ambalo hatutaweza kujinasua, kwa bahati mbaya hakuna anaejari,
Ninahis kunakitu hakipo sawa, ni ama kwa makusudi au kwa bahati mbaya tunaelekea huko, taifa la watu zain ya million 60 tunazungumzia kukopa t2 kwel? Au sa iv akili tumeshikiwa na watu? Au nchi inaendeshwa na zaidi ya ndimi 2?
Kunamsululu wa mambo yanakuja mpka naongopa, sasa najiuliza kama tu mm mtu wa kawaida naona kunahatari, hv hao huo juu hawaoniiii kwel? Au chuma ulete?
Ukubwa wa deni umeupima kwa kutumia factors zipi 😁?Ukiangalia data za ukubwa wa deni tunalolipa na tunalodaiwa ndio utaelewa,ila kwa wewe ulieshikiwa akili huwezi kuliona.
Hapo sasa !!Yah right. Madeni mengine tutayalipia mbinguni baada ya mwisho wa dunia🤣🤣🤣🤣
Punguani huyoKumbe unafahamu kuwa kuna wizara ya fefha na kamati ya bunge ambayo unaweza kupata majibu? Sasa kwann hayo majibu huna?
Ramli na mihemko hazvtakusaidia ndugu,tafuta taarifa sahihiIla kiukwel, tusipofanya jitihada kama taifa tuona mienendo inavyo kwenda ya taifa, tunakwenda kutumbukia kwenye shimo zito ambalo hatutaweza kujinasua, kwa bahati mbaya hakuna anaejari,
Ninahis kunakitu hakipo sawa, ni ama kwa makusudi au kwa bahati mbaya tunaelekea huko, taifa la watu zain ya million 60 tunazungumzia kukopa t2 kwel? Au sa iv akili tumeshikiwa na watu? Au nchi inaendeshwa na zaidi ya ndimi 2?
Kunamsululu wa mambo yanakuja mpka naongopa, sasa najiuliza kama tu mm mtu wa kawaida naona kunahatari, hv hao huo juu hawaoniiii kwel? Au chuma ulete?
True helaa ya ofisi ndio ununue tairi na spea, huku ukipewa offer na traffic ya kutokamatwa, daladala nyingi ni za police zipo barabarani sababu wapo ofisini wakistaafu nazo ustaafu barabarani.Sababu pia wanakuwa hawana uzoefu na mambo ya biashara kwa muda wote wa utumishi wao kwenye sekta za umma.
Shida ni aliyeanzisha miradi ya matrillion (SGR/ JNHPP) na akawa anakopa kimya kimya anatudanganya nchi hii ni tajiri. Mbaya zaidi hakuna mradi hata mmoja aliokuwa amekwisha kuumaliza (Trillions TZS projects achana na miradi ya billions TZS). SSH kapokea nchi inaviporo vya miradi mikubwa yote inahitaji fedha na uwezo wa makusanyo yetu ya ndani hauwezi finance hiyo miradi na kuendesha huduma za kijamii.Ukiangalia data za ukubwa wa deni tunalolipa na tunalodaiwa ndio utaelewa,ila kwa wewe ulieshikiwa akili huwezi kuliona.
Hivyo vyote vimekuwepo tangu enzi za babu zetu hukooo!Sasa kwa nini kelele ziwe nyingi kwenye mwaka mmoja tu wa huyu mwanamke madarakani?.Gesi asilia,Madini lukuki,Mafuta chini ya Ardhi,Bahari kuu,Maziwa makuu,Misitu asilia,Hifadhi za taifa ziko 22,Ardhi yenye rutuba,Mito mikuu inayotiririsha maji mwaka mzima non stop nk...nk....
Kwa sababu iliongozwa na mtu mmoja mwenye maono ya kujitegemea na MUISLAMU SAFI!.Kwa Nini nchi ya Libya haikuwa na mikopo
Hii ndiyo pointi ya muhimu kufanyiwa kazi.Nchi yetu inahitaji kuwa na miradi michache tunayoimudu taratibu hata kama itatuchukua miaka 50 kufika tunakutaka
Ila lazima kuwe na sheria za kuwa kila Rais au serikali itafuata palepale alipoishia au ilipoishia
Hatuwezi kila anaekuja anakuja na sera zake na masharti yake
Tunahitaji constitutional yenye nguvu na sio bunch of crooks