Mnaoishabikia Urusi muwe mnapata aibu kila mkitazama hii picha

Mnaoishabikia Urusi muwe mnapata aibu kila mkitazama hii picha

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wakati Urusi inaanza kuparamia Ukraine, ilikua na kila uwezo wa kuteka Ukraine yote kwa siku tano, huu ndio mfano mzuri wa kubwa jinga...
Maustadh mnalo...

Screenshot_20221021-060945.png
 
Sasa ulitaka Urusi apeleke jeshi lote na vifaa huko Ukraine na aiache nchi yake bila Ulinzi?Kwani uliambiwa malengo ya Urusi ni kumaliza vita mapema?

Hehehe ameishia kulazimisha wanywa gongo wakapigane, kaishiwa kabisa.
 
Wakati Urusi inaanza kuparamia Ukraine, ilikua na kila uwezo wa kuteka Ukraine yote kwa siku tano, huu ndio mfano mzuri wa kubwa jinga...
Maustadh mnalo...

View attachment 2393355
Wenzako wanasema hivi vita ni Kati ya Russia 🇷🇺 na NATO, ww unaleta hapa Ukraine Vs Russia 🇷🇺!
Leta ulinganifu NATO na RUSSIA 🇷🇺


SmartSelect_20221011-202536_Chrome.jpg
 
Nikuelimishe Jambo hapa!
Hii Vita ni Kati ya Ulaya + USA tena NATO Juzi walisema Urusi akishinda itakuwa imeshindwa Nato.

Pia Vita inayopiganwa sio kuitwaa Ukraine! Bali kuizoofisha Ukraine isijiunge Nato. Pia kuiadhibu Ulaya kwa kimbelembele chake pamoja na USA.

Wakati huu USA mfumuko wa Bei ni 8.3, pia Ufaransa hali tete, UK hakufahi hata kidogo, uchumi umedorola ukiachia mbali Putin kuwalamba vichwa ma waziri Wakuu.

MATAIFA kama Ujerumani uchumi unayumba kwa ajili ya kusitisha uzalishaji Viwanda, mambo ni mengi.

Ila muda huu ni wa kutafuta ugari, nitarudi kwako J. Pili nikudadavudie misukosuko ya Ulaya with some evidence.
 
Back
Top Bottom