Mnaoishabikia Urusi muwe mnapata aibu kila mkitazama hii picha

Mnaoishabikia Urusi muwe mnapata aibu kila mkitazama hii picha

Pia Asilimia 15% imetwaliwa, huko Kuna Vinu vikubwa vya nuklia, Ardhi Safi ya Kilimo, Viwanda vya Kemikari, Viwanda vya Chuma, Makumbusho, Bandari zenye kina kikubwa Cha asiri,n.k.

Sijui hapo umeelewa, Tena vimenyakuliwa mikononi mwa Majeshi ya Nato.

Hata mahabara za Korona na Ukimwi Maliapol vimekamatwa na kuaribiwa.

Sasa wewe unashabikia waasisi wa Ushoga Duniani? Huwezi fikiri hawa Watu wamebaka, kuwafanyisha kazi ngumu bila Malilo, kuwaasi nguvu za kiume na kuwaingilia kinyume na maumbile Babu zetu?

Nyie ni kizazi Cha Miaka ipi hamkosoma Historian?
 
Nakubaliana na wewe kabisa siku NATO ikitia mguu hapo Russia atafumuliwa vibaya sana. Kama tu Ukraine tu amesumbuka nayo Kwa Miezi 8 sasa je wake wa mitulinga wakitua hapo si itakuwa balaa Kwa Russia?

Pia toka ukraine ianzishe Operation Counter Offensive maeneo mengi sana yamekombolewa na sasa hivi Kherson unaenda kukombolea maana Askari wavamizi wamekimbia eneo Hilo la mapigano.

Badala yake Russia inamaliza hasira zake Kwa raia Wasio na Silaha kwa Kwa kuharibu makazi yao na kuharibu miundo mbinu ya kiraia kitu ambacho ni uhalifu wa kivita (War Crime).
 
Pia Asilimia 15% imetwaliwa, huko Kuna Vinu vikubwa vya nuklia, Ardhi Safi ya Kilimo, Viwanda vya Kemikari, Viwanda vya Chuma, Makumbusho, Bandari zenye kina kikubwa Cha asiri,n.k.
Cjuhi hapo umeelewa, Tena vimenyakuliwa mikononi mwa Majeshi ya Nato.
Hata mahabara za Korona na Ukimwi Maliapol vimekamatwa na kuaribiwa.
Sasa ww unashabikia waasisi wa Ushoga Duniani? Huwezi fikiri hawa Watu wamebaka, kuwafanyisha kazi ngumu bila Malilo, kuwaasi nguvu za kiume na kuwaingilia kinyume na maumbile Babu zetu? Nyie ni kizazi Cha Miaka ipi hamkosoma Historian?

Kumbe hata huwajui waasisi wa Ushoga nenda kasome ujue
 
Nikuelimishe Jambo hapa!
Hii Vita ni Kati ya Ulaya + USA tena NATO Juzi walisema Urusi akishinda itakuwa imeshindwa Nato.
Pia Vita inayopiganwa sio kuitwaa Ukraine! Bali kuizoofisha Ukraine isijiunge Nato. Pia kuiadhibu Ulaya kwa kimbelembele chake pamoja na USA. Wakati huu USA mfumuko wa Bei ni 8.3, pia Ufaransa hali tete, UK hakufahi hata kidogo, uchumi umedorola ukiachia mbali Putin kuwalamba vichwa ma waziri Wakuu. MATAIFA kama Ujerumani uchumi unayumba kwa ajili ya kusitisha uzalishaji Viwanda, mambo ni mengi.
Ila muda huu ni wa kutafuta ugari, nitarudi kwako J. Pili nikudadavudie misukosuko ya Ulaya with some evidence.

Mkuu asili mia 70% ya wanajeshi wa Ukraine wamekwisha uwawa na jeshi la Urusi so far, Zelensky anacho fanya hizi sasa ni kuwalazimisha half cooked vijana na wazee kwenda kupigana endless futile counter offensive ambao mara zote wanapigwa vibaya sana na jeshi la Urusi lakini Zelensky anaendelea ku-sacrifice wanajeshi vijana kuwafrahisha Wamerikani - Zelensky ni mtu katiri sana ajali kabisa Waukreini wenzake hata wakifa mamillion yeye anaona SAWA tu.
 
Mrusi hakua clear nini anataka Ukraine akafanya delaying tactics akachukuliwa poa. Kumbe hawakujua hawakujua

Awe clear au asiwe clear sasa hivi Kherson anapigika kama kawaida!!
 
Mkuu asili mia 70% ya wanajeshi wa Ukraine wamekwisha uwawa na jeshi la Urusi so far, Zelensky anacho fanya hizi sasa ni kuwalazimisha half cooked vijana na wazee kwenda kupigana endless futile counter offensive ambao mara zote wanapigwa vibaya sana na jeshi la Urusi lakini Zelensky anaendelea ku-sacrifice wanajeshi vijana kuwafrahisha Wamerikani - Zelensky ni mtu katiri sana ajali kabisa Waukreini wenzake hata wakifa mamillion yeye anaona SAWA tu.
Hizo takwimu ni za kwako, Russia ndo wamejaribu kurecruit wanajeshi 300,000/= na ameahindwa kwa hiyo kaamua kutumia anga kushambulia Ukraine
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hizo takwimu ni za kwako, Russia ndo wamejaribu kurecruit wanajeshi 300,000/= na ameahindwa kwa hiyo kaamua kutumia anga kushambulia Ukraine

Sija kulazimisha kukubaliana na maoni yangu - usifikiri wote tunategemea western Govt handouts au social media trolls kupata liable news - as I said believe what you like/want up2U lakini kumbuka kuna baadhi ya members wanataka kusikia the other side of the story.

Sasa tuje kwenye Russia ku-recruit walinzi 300,000 lengo la Urusi ni kupata walinzi ili wadhibiti sehemu zote ambazo zimetekwa na jeshi la Urusi hao ni walinzi si wanajeshi wa kupigana kwenye front line msiwe mna-spin habari mnazo kalilishwa na MSM.
 
Awe clear au asiwe clear sasa hivi Kherson anapigika kama kawaida!!
Ukraine akimpiga Urusi anashangilia kweli akiguswa kidogo anaanza kulia Ooh International community inanitenga. Mara Putin ni mwendawazimu 😄😄
 
Mkuu asili mia 70% ya wanajeshi wa Ukraine wamekwisha uwawa na jeshi la Urusi so far, Zelensky anacho fanya hizi sasa ni kuwalazimisha half cooked vijana na wazee kwenda kupigana endless futile counter offensive ambao mara zote wanapigwa vibaya sana na jeshi la Urusi lakini Zelensky anaendelea ku-sacrifice wanajeshi vijana kuwafrahisha Wamerikani - Zelensky ni mtu katiri sana ajali kabisa Waukreini wenzake hata wakifa mamillion yeye anaona SAWA tu.
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
umemmaliza, sijui kma atarudi. Wao ndio vinala wa ushoga
Nafikiri hii itakua ni hayo maeneo mnayoyazungumzia mkuu
Screenshot_20221013-225849_Chrome.jpg
 
Hehehe hivi mbona maustadh wa bongo mko obsessed na mambo ushog.a kila mkishindwa kwenye hoja huwa mnahamia huko, ukizingatia maeneo ambayo mpo wengi ndio huongoza kwa hayo mavitu yaani Mombasa, Pemba na Pwani yote.
Tatizo mmekalili kua hayo maeneo ndio yanaongoza kwa ushoga bila yakua na ushahidi na kuwaacha hawa ndugu zenu wa dini yetu takatifu
Screenshot_20221013-225849_Chrome.jpg
 
Wakati Urusi inaanza kuparamia Ukraine, ilikua na kila uwezo wa kuteka Ukraine yote kwa siku tano, huu ndio mfano mzuri wa kubwa jinga...
Maustadh mnalo...

View attachment 2393355
Kwa hiyo ukiwa na vifaa vingi ndio utumie hivyo,wakati hata wewe ni adui wa urusi,vingine tunahifadhi kwa ajili ya maadui waliojificha😂😂
 
Back
Top Bottom