Nikuelimishe Jambo hapa!
Hii Vita ni Kati ya Ulaya + USA tena NATO Juzi walisema Urusi akishinda itakuwa imeshindwa Nato.
Pia Vita inayopiganwa sio kuitwaa Ukraine! Bali kuizoofisha Ukraine isijiunge Nato. Pia kuiadhibu Ulaya kwa kimbelembele chake pamoja na USA. Wakati huu USA mfumuko wa Bei ni 8.3, pia Ufaransa hali tete, UK hakufahi hata kidogo, uchumi umedorola ukiachia mbali Putin kuwalamba vichwa ma waziri Wakuu. MATAIFA kama Ujerumani uchumi unayumba kwa ajili ya kusitisha uzalishaji Viwanda, mambo ni mengi.
Ila muda huu ni wa kutafuta ugari, nitarudi kwako J. Pili nikudadavudie misukosuko ya Ulaya with some evidence.