Mnaoishabikia Urusi muwe mnapata aibu kila mkitazama hii picha

Mnaoishabikia Urusi muwe mnapata aibu kila mkitazama hii picha

Hehehe hivi mbona maustadh wa bongo mko obsessed na mambo ushog.a kila mkishindwa kwenye hoja huwa mnahamia huko, ukizingatia maeneo ambayo mpo wengi ndio huongoza kwa hayo mavitu yaani Mombasa, Pemba na Pwani yote.
we umeona wapi imeandikwa ustadhi au ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia hapo?
mataifa yanayoshinikiza ushoga unataka kusema huyajui?
Kwa mawazo haya watanzania kutoboa sio leo labda kwa ndumba.
 
Back
Top Bottom