Jacob kalokola
JF-Expert Member
- Mar 26, 2022
- 893
- 2,721
Pia Asilimia 15% imetwaliwa, huko Kuna Vinu vikubwa vya nuklia, Ardhi Safi ya Kilimo, Viwanda vya Kemikari, Viwanda vya Chuma, Makumbusho, Bandari zenye kina kikubwa Cha asiri,n.k.
Cjuhi hapo umeelewa, Tena vimenyakuliwa mikononi mwa Majeshi ya Nato.
Hata mahabara za Korona na Ukimwi Maliapol vimekamatwa na kuaribiwa.
Sasa ww unashabikia waasisi wa Ushoga Duniani? Huwezi fikiri hawa Watu wamebaka, kuwafanyisha kazi ngumu bila Malilo, kuwaasi nguvu za kiume na kuwaingilia kinyume na maumbile Babu zetu? Nyie ni kizazi Cha Miaka ipi hamkosoma Historian?
Marekan alitumia zaid ya miaka 20 Vietnam,
Still akafurushw,
Taliban hivyo hivyo.
Sembuse urusi kupamban na NATO+ Ucrane.
Nikuelimishe Jambo hapa!
Hii Vita ni Kati ya Ulaya + USA tena NATO Juzi walisema Urusi akishinda itakuwa imeshindwa Nato.
Pia Vita inayopiganwa sio kuitwaa Ukraine! Bali kuizoofisha Ukraine isijiunge Nato. Pia kuiadhibu Ulaya kwa kimbelembele chake pamoja na USA. Wakati huu USA mfumuko wa Bei ni 8.3, pia Ufaransa hali tete, UK hakufahi hata kidogo, uchumi umedorola ukiachia mbali Putin kuwalamba vichwa ma waziri Wakuu. MATAIFA kama Ujerumani uchumi unayumba kwa ajili ya kusitisha uzalishaji Viwanda, mambo ni mengi.
Ila muda huu ni wa kutafuta ugari, nitarudi kwako J. Pili nikudadavudie misukosuko ya Ulaya with some evidence.
Russia Ina wanajeshi laki 850,000 huu ni uongoWakati Urusi inaanza kuparamia Ukraine, ilikua na kila uwezo wa kuteka Ukraine yote kwa siku tano, huu ndio mfano mzuri wa kubwa jinga...
Maustadh mnalo...
View attachment 2393355
Wewe ndio hujui kituNani kakudanganya hivyo?
Mrusi hakua clear nini anataka Ukraine akafanya delaying tactics akachukuliwa poa. Kumbe hawakujua hawakujua
Hizo takwimu ni za kwako, Russia ndo wamejaribu kurecruit wanajeshi 300,000/= na ameahindwa kwa hiyo kaamua kutumia anga kushambulia UkraineMkuu asili mia 70% ya wanajeshi wa Ukraine wamekwisha uwawa na jeshi la Urusi so far, Zelensky anacho fanya hizi sasa ni kuwalazimisha half cooked vijana na wazee kwenda kupigana endless futile counter offensive ambao mara zote wanapigwa vibaya sana na jeshi la Urusi lakini Zelensky anaendelea ku-sacrifice wanajeshi vijana kuwafrahisha Wamerikani - Zelensky ni mtu katiri sana ajali kabisa Waukreini wenzake hata wakifa mamillion yeye anaona SAWA tu.
Hizo takwimu ni za kwako, Russia ndo wamejaribu kurecruit wanajeshi 300,000/= na ameahindwa kwa hiyo kaamua kutumia anga kushambulia Ukraine
We jamaa unahangaika sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Ukraine akimpiga Urusi anashangilia kweli akiguswa kidogo anaanza kulia Ooh International community inanitenga. Mara Putin ni mwendawazimu 😄😄Awe clear au asiwe clear sasa hivi Kherson anapigika kama kawaida!!
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu asili mia 70% ya wanajeshi wa Ukraine wamekwisha uwawa na jeshi la Urusi so far, Zelensky anacho fanya hizi sasa ni kuwalazimisha half cooked vijana na wazee kwenda kupigana endless futile counter offensive ambao mara zote wanapigwa vibaya sana na jeshi la Urusi lakini Zelensky anaendelea ku-sacrifice wanajeshi vijana kuwafrahisha Wamerikani - Zelensky ni mtu katiri sana ajali kabisa Waukreini wenzake hata wakifa mamillion yeye anaona SAWA tu.
Na hiyo misaada inayopelekwa kila siku Ukraine imejumlishiwa wapi kwenye hiyo statistics?Wakati Urusi inaanza kuparamia Ukraine, ilikua na kila uwezo wa kuteka Ukraine yote kwa siku tano, huu ndio mfano mzuri wa kubwa jinga...
Maustadh mnalo...
View attachment 2393355
Nafikiri hii itakua ni hayo maeneo mnayoyazungumzia mkuuumemmaliza, sijui kma atarudi. Wao ndio vinala wa ushoga
Tatizo mmekalili kua hayo maeneo ndio yanaongoza kwa ushoga bila yakua na ushahidi na kuwaacha hawa ndugu zenu wa dini yetu takatifuHehehe hivi mbona maustadh wa bongo mko obsessed na mambo ushog.a kila mkishindwa kwenye hoja huwa mnahamia huko, ukizingatia maeneo ambayo mpo wengi ndio huongoza kwa hayo mavitu yaani Mombasa, Pemba na Pwani yote.
Kwa hiyo ukiwa na vifaa vingi ndio utumie hivyo,wakati hata wewe ni adui wa urusi,vingine tunahifadhi kwa ajili ya maadui waliojificha😂😂Wakati Urusi inaanza kuparamia Ukraine, ilikua na kila uwezo wa kuteka Ukraine yote kwa siku tano, huu ndio mfano mzuri wa kubwa jinga...
Maustadh mnalo...
View attachment 2393355