Mnaoishabikia Urusi muwe mnapata aibu kila mkitazama hii picha

We jamaa unahangaika sana [emoji3][emoji3][emoji3]

Mkuu, we mezea tu, binafsi jamaa huyu nimekwisha msoma kisaikolojia najua sababu zinazo msukuma kuwa na rabid hatred za everything Russian, na kuhusudu mataifa ya magharibi na wazungu and America in particular.
 

Thanks a lot - nashangaa kwa nini raia wa Ulaya wanashindwa kuwaondoa madarakani kwa nguvu viongozi mazezeta wa Ulaya ambao wameingizwa mkenge na Biden na kujikuta wako kwenye hali mbaya kiuchumi wakati Uchumi wa Urusi unapaa. Sijui kwa nini wanawavumilia - waiitishe maandamano Ulaya nzima na kutimua wanajeshi wote wa Kimerikani barani Ulaya, bila ya kufanya hivyo watasubiri sana.
 

Niambie wapi Ulaya maandamano yalimuondoa rais wa nchi
 
Niambie wapi Ulaya maandamano yalimuondoa rais wa nchi

Simple - je,umewahi kusikia October revolution ya mwaka 1917 huko Urusi ilitokana na nini??

One more thing: Any idea colour revolution zinamaanisha nini,je,Ukraine kulitokea nini?? Najua uliuliza swali hili kutaka kunizodoa ndio baadhi ya Watanzania tulivyo.
 
*Vinara

Kuliko Wamarekani na watu wa Ulaya?
Ulaya /USA ni uhuru wa mtu kufanya atakalo as long as yuko within the law! Haki za binadamu zinazingatiwa, mtu anatumia mwili wake atakavyo. Ni new invention. Huku kwa wenzetu ni jadi yao, ndio utamaduni wao.......not new invention
 

Nimekuuliza swali nataka kupata majibu sikuanza kulalama kuwa unataka kuzodolewa!!Wewe jibu swali langu tu!!
 
Ulaya /USA ni uhuru wa mtu kufanya atakalo as long as yuko within the law! Haki za binadamu zinazingatiwa, mtu anatumia mwili wake atakavyo. Ni new invention. Huku kwa wenzetu ni jadi yao, ndio utamaduni wao.......not new invention
Sasa kwa maelezo yako haya Mzee ni nani vinara wa ushoga?
 
Tuambie hapo wamarekani walishindwaje sasa.View attachment 2396350

Sio rahisi kupigana na majitu ya kidini, hata utumie vifaru au silaha za aina gani, wakitoka misikitini wamelishwa mizuka ya kidini wanakuja kujitoa mhanga moja kwa moja allhu akbr takbirr....yaani wanakua mazombi
 
Wavaa pempas [emoji304][emoji2524]‍[emoji304] leo wana hali mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…