Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Mm sijawahi kufika Dar, ila nikifika huko ntatamani sana kufika Coco Beach mana naskia huko ndipo mvua inapolala πŸ”₯
Ila Mbaga 🀣🀣🀣
Sawa umechagua vizuri, Coco utapata mambo yako yote uyapendayo πŸ€­πŸ˜…
 
Sio anaishi mwingine kazaliwa jijini na hajui maeneo kibao, unabaki kushangaa tu, na jinsi usafiri wa dar ulivyo bei rahisi.
 
Kuna mwana nilisoma naye alikuwa anakaa Oysterbay, nimekutana naye US, alikiwa hapajui Buguruni wapi.

Nilimcheka sana mpaka aliporudi likizo ilibidi aende Buguruni kupaona.

Unakaaje Dar halafu Buguruni hupajui?
Wakishua uyo mimi mbona mpaka leo sijawai fika city center kuna siku nilikuwa nata kwenda nikaghail up now sijawai fika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…