MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Kweli amekuvuruga, Thread Title inasema miezi mi 3, content inasema wiki 3, umeamua kutuvuruga na sisi sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 wizo acha kubania wenzio wasiolewe, ww unampepelea baba tamu kwa raha zako afu wenzio hutaki wapate raha mfyuuu!!Ndoa ni utapeli.
Yaani umelifuga toto la mtu, unalilisha mauji na maugali unaishia kuambulia papuchi ambayo haina hata jotro.
Kwa walafi wa papuchi lazima waoe, ndio maana mume wangu aliamua kunioa kwa sababu ni mlaku wa papuchi. Ananizagamua vilivyo.
Kijana sikushauri uoe. Ndoa ni biashara ya papuchi dhidi ya uhuru.
Labda tu uwe mlaku wa papuchi.
Cc: Lamomy
Huyu sidhani kama anawaza future.......anapenda maigizo sana huyu nyukiWeka mipango ya kuiatain hyo future, asipoweza kufit in, piga chini mapema...
Wewe ndiye kiongozi hapo mkuu...
Shida chief unachukua vitoto vya miaka 19 au 21 sasa hapo umeoa au unamkuza mtoto ua mtu ashapevuta akili ishakomaa mda wote anawaza life uyo bado yupo na choice badoHabari za jumapili wana jamii forums
Kiukweli kuishi na mwanamke kunahitaji moyo wa chuma.....yaani nimemuweka ndani huu mwezi wa 3 lakini naona akili yangu haifanyi kazi vizuri hata uwezo wangu wa kufikiria naona unapungua.Akiamka asubuhi amenuna,naona matumizi yangu ya pesa yapo juu maana anataka vitu vizuri vizuri tu,yaani hawazi future na ukileta habari za maendeleo hazitaki kabisa anapenda mambo ya tamthilia na story za maigizo mengi,ukimkataza kuhusu hayo mambo ya kufikirika ananuna siku nzima,na mimi sitaki kuifuata akili yake naona ananipoteza tu naana ni nosense.
Aisee kuishi na mtu mpaka mzeeke ni sawa na kubeba bomu la kurusha kwa mkono kwenye begi la mgongoni
Aaa we mi sitaki haya mambo.
labda sijawa makini kwenye kuchagua japo mwanzoni kabla ya kuishi naye she was perfectNiko na zaidi ya miaka 10 kwenye ndoa yangu,ingekuwa kuna ku-renew mkataba kila basda ya miaka 10 na huyu mama watoto wangu,uwezekana wa kufanya hivyo ni 100%.
Wewe Unakwama wapi mkuu?
nina miaka 33 yeye ana miaka 27Kwani we una miaka mingapi na yeye Ana miaka mingapi...
aisee inaniuma saanaShida chief unachukua vitoto vya miaka 19 au 21 sasa hapo umeoa au unamkuza mtoto ua mtu ashapevuta akili ishakomaa mda wote anawaza life uyo bado yupo na choice bado
Kuishi na mtu anayetumia hisia ni ngumu aiseeeMwanaume unahitaji kugangamala sio unalia lia...
Mwanamke anakushindaje?
Na huo ndio ukubwa Sasa.Habari za jumapili wana jamii forums
Kiukweli kuishi na mwanamke kunahitaji moyo wa chuma.....yaani nimemuweka ndani huu mwezi wa 3 lakini naona akili yangu haifanyi kazi vizuri hata uwezo wangu wa kufikiria naona unapungua.Akiamka asubuhi amenuna,naona matumizi yangu ya pesa yapo juu maana anataka vitu vizuri vizuri tu,yaani hawazi future na ukileta habari za maendeleo hazitaki kabisa anapenda mambo ya tamthilia na story za maigizo mengi,ukimkataza kuhusu hayo mambo ya kufikirika ananuna siku nzima,na mimi sitaki kuifuata akili yake naona ananipoteza tu naana ni nosense.
Aisee kuishi na mtu mpaka mzeeke ni sawa na kubeba bomu la kurusha kwa mkono kwenye begi la mgongoni
Aaa we mi sitaki haya mambo.
Kwahyo utafanyaje umri wako hili nijue nikushauri nini?Kuishi na mtu anayetumia hisia ni ngumu aiseee
Kaka Kuna wakati maisha yanahitaji mtu wa kuwa nae ili yakae vizuri zaidi, lkn tatizo unapata tunapatana na watu sio sahihi, bro tafuta mtu ambaye anaelewa maisha. Unaeza Kaa na mwanamke Kama Hana akili utajikuta uko pale pale mpaka uzee na hujapiga hatua. Piga chini huyo umri wako unadai badonina miaka 33 yeye ana miaka 27
Mtu na tabia zake si zile zile tu, iwe ni mke au sogea tuishi mtu ni yuleyule tuu.Umemuoa au ni sogea tukae