halfcastmangi
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 605
- 1,644
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mie mwaka 2009 nikiwa na sogea tuishi kimara mwisho niliwahi ondoka na begi la nguo ru mgongoni, niliacha chumba na sebule full, laptop yani nilikuwa well furnished kiukweli, aisee nikadanganya nimepata kakazi moro mpaka leo.Mimi enzi za ujana wangu niliwahi kuishi na mwanamke(Sogea tuishi) mwezi mmoja ndani ya huo mwezi ndio nilitambua kabisa ndoa zina watu wake na mimi sio mmoja wao. Ilinilazimu kila nikitoka kazini lazima nipitie bar kwanza nichape Konyagi ndio niende nyumbani, kulala nae kitanda kimoja nilikua nahisi kama ataweza kunichoma kisu so nilikua nalala macho tu.
Hata akiniuliza utakula nini leo nilikua nahisi kama ananipigia makelele.
Hongera zenu mlioweza kuishi na hawa viumbe asee