Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kama anakupatia yote hakuna shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka anatako kubwa eeeHabari za jumapili wana JamiiForums
Kiukweli kuishi na mwanamke kunahitaji moyo wa chuma.....yaani nimemuweka ndani huu mwezi wa 3 lakini naona akili yangu haifanyi kazi vizuri hata uwezo wangu wa kufikiria naona unapungua.Akiamka asubuhi amenuna,naona matumizi yangu ya pesa yapo juu maana anataka vitu vizuri vizuri tu,yaani hawazi future na ukileta habari za maendeleo hazitaki kabisa anapenda mambo ya tamthilia na story za maigizo mengi,ukimkataza kuhusu hayo mambo ya kufikirika ananuna siku nzima,na mimi sitaki kuifuata akili yake naona ananipoteza tu naana ni nosense.
Aisee kuishi na mtu mpaka mzeeke ni sawa na kubeba bomu la kurusha kwa mkono kwenye begi la mgongoni
Aaa we mi sitaki haya mambo.
Kwenye mazingira kama hayo ndo unakuja kuona K sio chochote kitu.K anakupa au hakupi?
hakika aiseee............sijui ww umewezaje kumantainKwenye mazingira kama hayo ndo unakuja kuona K sio chochote kitu.
Sijafika level hizo yet..hakika aiseee............sijui ww umewezaje kumantain
we ni mvulana siyo mumeHabari za jumapili wana JamiiForums
Kiukweli kuishi na mwanamke kunahitaji moyo wa chuma.....yaani nimemuweka ndani huu mwezi wa 3 lakini naona akili yangu haifanyi kazi vizuri hata uwezo wangu wa kufikiria naona unapungua.Akiamka asubuhi amenuna,naona matumizi yangu ya pesa yapo juu maana anataka vitu vizuri vizuri tu,yaani hawazi future na ukileta habari za maendeleo hazitaki kabisa anapenda mambo ya tamthilia na story za maigizo mengi,ukimkataza kuhusu hayo mambo ya kufikirika ananuna siku nzima,na mimi sitaki kuifuata akili yake naona ananipoteza tu naana ni nosense.
Aisee kuishi na mtu mpaka mzeeke ni sawa na kubeba bomu la kurusha kwa mkono kwenye begi la mgongoni
Aaa we mi sitaki haya mambo.
Sio compatible.Habari za jumapili wana JamiiForums

Na akizoea kulishwa cku unamiambia ondoka anachanganyikiwa kabisa kwakua amezoea ganda la ndiziNdoa ni utapeli.
Yaani umelifuga toto la mtu, unalilisha mauji na maugali unaishia kuambulia papuchi ambayo haina hata jotro.
Kwa walafi wa papuchi lazima waoe, ndio maana mume wangu aliamua kunioa kwa sababu ni mlaku wa papuchi. Ananizagamua vilivyo.
Kijana sikushauri uoe. Ndoa ni biashara ya papuchi dhidi ya uhuru.
Labda tu uwe mlaku wa papuchi.
Cc: Lamomy
Kuna mmoja nilianza kuishi nae kwa style ya sogea tuishi.Mkuu at your age 33 yrs means upo hatua ya kutafuta usahihi kwa vitu vingi including intimacy , wife , job , and etc.
The point to note.
Nakupa hii siri unapohitaji kitafuta MTU wa kuishi naye hakikisha anafundishika.
MTU anayefundishika mta-settle vizuri atajua what is right what is wrong.
Hivyo usianze kumfukuza Ila jaribu kwenda naye taratibu kwa kuwa humble ,kumsikiliza na kusikiliza na uanze mfundisha ni vipi awe .
Endelea kukuza ufahamu wako , taratbu.
Umemuweka ndani mtoto mdogoHabari za jumapili wana JamiiForums
Kiukweli kuishi na mwanamke kunahitaji moyo wa chuma.....yaani nimemuweka ndani huu mwezi wa 3 lakini naona akili yangu haifanyi kazi vizuri hata uwezo wangu wa kufikiria naona unapungua.Akiamka asubuhi amenuna,naona matumizi yangu ya pesa yapo juu maana anataka vitu vizuri vizuri tu,yaani hawazi future na ukileta habari za maendeleo hazitaki kabisa anapenda mambo ya tamthilia na story za maigizo mengi,ukimkataza kuhusu hayo mambo ya kufikirika ananuna siku nzima,na mimi sitaki kuifuata akili yake naona ananipoteza tu naana ni nosense.
Aisee kuishi na mtu mpaka mzeeke ni sawa na kubeba bomu la kurusha kwa mkono kwenye begi la mgongoni
Aaa we mi sitaki haya mambo.
Huyu itakuwa alioa ile style ya kuchukuwa chako mapema kabla umri hujaenda sana nimeona hapo ana miaka 33Mbona ni mtu mzima ambae ana akir za kitoto maisha ya ndoa yanahitaj akir na kuish kirafiki ili muweze kwenda mbele kimaendeleo Kwa kushauriana hapo nyie kushauliana ni ngumu