Ruwamangi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 1,292
- 2,382
TrueKwenye mazingira kama hayo ndo unakuja kuona K sio chochote kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TrueKwenye mazingira kama hayo ndo unakuja kuona K sio chochote kitu.
Nyie hampendaniHabari za jumapili wana JamiiForums
Kiukweli kuishi na mwanamke kunahitaji moyo wa chuma.....yaani nimemuweka ndani huu mwezi wa 3 lakini naona akili yangu haifanyi kazi vizuri hata uwezo wangu wa kufikiria naona unapungua.Akiamka asubuhi amenuna,naona matumizi yangu ya pesa yapo juu maana anataka vitu vizuri vizuri tu,yaani hawazi future na ukileta habari za maendeleo hazitaki kabisa anapenda mambo ya tamthilia na story za maigizo mengi,ukimkataza kuhusu hayo mambo ya kufikirika ananuna siku nzima,na mimi sitaki kuifuata akili yake naona ananipoteza tu naana ni nosense.
Aisee kuishi na mtu mpaka mzeeke ni sawa na kubeba bomu la kurusha kwa mkono kwenye begi la mgongoni
Aaa we mi sitaki haya mambo.
Miaka 27 ni mtoto mdogo? Labda akili ni ya kitoto umri ni mkubwaUmemuweka ndani mtoto mdogo
Shida ilikuwa nn?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mie mwaka 2009 nikiwa na sogea tuishi kimara mwisho niliwahi ondoka na begi la nguo ru mgongoni, niliacha chumba na sebule full, laptop yani nilikuwa well furnished kiukweli, aisee nikadanganya nimepata kakazi moro mpaka leo.
Huyo mwanamke inaonekana uliamua kuishi naye ili upate mbususu muda wote na sio mtu sahihi kwakoHabari za jumapili wana JamiiForums
Kiukweli kuishi na mwanamke kunahitaji moyo wa chuma.....yaani nimemuweka ndani huu mwezi wa 3 lakini naona akili yangu haifanyi kazi vizuri hata uwezo wangu wa kufikiria naona unapungua.Akiamka asubuhi amenuna,naona matumizi yangu ya pesa yapo juu maana anataka vitu vizuri vizuri tu,yaani hawazi future na ukileta habari za maendeleo hazitaki kabisa anapenda mambo ya tamthilia na story za maigizo mengi,ukimkataza kuhusu hayo mambo ya kufikirika ananuna siku nzima,na mimi sitaki kuifuata akili yake naona ananipoteza tu naana ni nosense.
Aisee kuishi na mtu mpaka mzeeke ni sawa na kubeba bomu la kurusha kwa mkono kwenye begi la mgongoni
Aaa we mi sitaki haya mambo.
Tena nibora awahi kukimbia mana akisha zaa huyo basi ni balaaa na nusuUna hamu ya kuwa na watoto au hauna?
Hapo bado hajakubebea mimba, ndo utajua hujui..
Kwa hiyo ulihesabu kuanzia moja mpaka tisini ukagundua ni miezi mitatu kweli.Habari za jumapili wana JamiiForums
Kiukweli kuishi na mwanamke kunahitaji moyo wa chuma.....yaani nimemuweka ndani huu mwezi wa 3 lakini naona akili yangu haifanyi kazi vizuri hata uwezo wangu wa kufikiria naona unapungua.Akiamka asubuhi amenuna,naona matumizi yangu ya pesa yapo juu maana anataka vitu vizuri vizuri tu,yaani hawazi future na ukileta habari za maendeleo hazitaki kabisa anapenda mambo ya tamthilia na story za maigizo mengi,ukimkataza kuhusu hayo mambo ya kufikirika ananuna siku nzima,na mimi sitaki kuifuata akili yake naona ananipoteza tu naana ni nosense.
Aisee kuishi na mtu mpaka mzeeke ni sawa na kubeba bomu la kurusha kwa mkono kwenye begi la mgongoni
Aaa we mi sitaki haya mambo.
HahahahMkuu bado hamjapata watoto Kuna mengi zaidi yanakuja.
Hahaha eti nyukiHuyu sidhani kama anawaza future.......anapenda maigizo sana huyu nyuki
Oya mbona details zote kama vile mke wako namjua 😂nina miaka 33 yeye ana miaka 27