Mnaoishi na wanawake mnawezaje? Miezi 3 naona kama miaka 44

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mie mwaka 2009 nikiwa na sogea tuishi kimara mwisho niliwahi ondoka na begi la nguo ru mgongoni, niliacha chumba na sebule full, laptop yani nilikuwa well furnished kiukweli, aisee nikadanganya nimepata kakazi moro mpaka leo.
 
Nakuelewa mkuu nakuelewa sana ila hakuna namna. Omba Mungu upate mtu bright sio hawa wafuatilia tamthlia wakata kuishi hayo hayo maisha bila kujua ni maigizo.
 
Achana naye, it seems direct kwamba your future is not destined togetner.
Mapenzi ni furaha, lakini kwa huyo inaonesha hauna furaha, zaidi kiwango cha furaha kimeshuka.
Mapenzi ni kushauriana na pamoja mnajadiliana kuhusu maendeleo, lakini huyo hakuna cha kushauriana kuhusu maendeleo zaidi ya kukuta billi na yeye kubaki na TV yake.

You are not looking for that person, kwa maelezo yako tu inaonesha kuna features nyingi unazozitaka lakini yeye hana. so what the https://jamii.app/JFUserGuide?!! Drop her and you drop her fast
 
Mkuu at your age 33 yrs means upo hatua ya kutafuta usahihi kwa vitu vingi including intimacy , wife , job , and etc.

The point to note.

Nakupa hii siri unapohitaji kitafuta MTU wa kuishi naye hakikisha anafundishika.

MTU anayefundishika mta-settle vizuri atajua what is right what is wrong.


Hivyo usianze kumfukuza Ila jaribu kwenda naye taratibu kwa kuwa humble ,kumsikiliza na kusikiliza na uanze mfundisha ni vipi awe .


Endelea kukuza ufahamu wako , taratbu.
 
Best comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…