Mnaoishi na wanawake mnawezaje? Miezi 3 naona kama miaka 44

Bila shaka anatako kubwa eee
 
we ni mvulana siyo mume
 
Sio compatible.
 
Wengi aisee naona ni utoto unakua unawasumbua vumilia usiache kumfundisha ila zaidi ya yote uwe na msimamo na usitetereke
 
Na akizoea kulishwa cku unamiambia ondoka anachanganyikiwa kabisa kwakua amezoea ganda la ndizi
 
Kuna mmoja nilianza kuishi nae kwa style ya sogea tuishi.

Nikawa namrekebisha huko kumfundisha unako kusema

Jibu alilonipa ni kwamba mbwa mzee hafundishwi kunusa!!!


baada ya hapo ikawa ni mabishano mwanzo mwisho.

Tumekaa tu 3months

Nikamwambia wewe nenda tu.
 
Umemuweka ndani mtoto mdogo
 
Mbona ni mtu mzima ambae ana akir za kitoto maisha ya ndoa yanahitaj akir na kuish kirafiki ili muweze kwenda mbele kimaendeleo Kwa kushauriana hapo nyie kushauliana ni ngumu
Huyu itakuwa alioa ile style ya kuchukuwa chako mapema kabla umri hujaenda sana nimeona hapo ana miaka 33

Huyu mwanamke hana historia nae japo 1year
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…