Mnaojenga Nyumba ya ghorofa kwa ajili ya kuishi mnazipendea nini?

Tunapenda kukaaa juu juu
 
Hivi huu utaratibu wa kupangia watu namna ya kuishi mmeutoa wapi? Wewe kama huna hela ya kujenga maghorofa piga kimya mwamba wenye hela wajenge! Na siyo lazima wewe ndiye uishi kule juu! Kwani ukiwaachia watoto utakuwa na hasara gani!
 
Pesa ipo Ila Basi tu naona usumbufu pia usalama mdogo unaweza dunguliwa na sniper
 
Hivi lift inatakiwa kwenye nyumba inayoanzia gorofa ngapi...?
 
SHIDA YA WATU WALIOKULIA KIJIJINI NI KUBWA HAPA MJINI.
UFIKIRI WA HOVYO KABISA HUU. NI SAWA NA KUSEMA "KWA NINI MTU UNUNUE RANGE ROVER WAKATI PASSO TU INAKUFIKISHA MJINI"
AKILI YA "KIJINGA"
AKILI YA KIMASIKINI
AKILI YA KIJIJINI HII
MLETA MADA KAKULIA VIJIJINI HUKO NDANI NDANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…