Mnaojenga Nyumba ya ghorofa kwa ajili ya kuishi mnazipendea nini?

Wengi wanaangalia future ghorofa huwa na muonekano mzuri pia inasave nafasi ambayo unaweza ukaweka garden na parking

By the way speaking of uzee, sio kila anayejenga ni old age kuna wengine wapo Mid 20's sasa, 40 years to come asiishi kwenye ghorofa kisa tu akiwa 65 itamsumbua, wakati haya ndio mazoezi mazuri kabisa kwake.

PS: hata ukija kuzeeka, wajukuu wapo tu watajiachia kwenye mjengo wa babu
 
Kwa taarifa mwambie mimi nikifikisha 60 ndipo nitajenga ghorofa langu! Kwa nini mtu anipangie bwana!
 

Tafuta pesa mkuu ujenge ghorofa...

Eti utashindwa kupanda ngazi, kwani ghorofa linaelea juu kwamba hakuna ground floor itayoweza kuwa na huduma za vyumba?
 
umasikini wenu tu, kama umeweza kujenga ghorofa utashindwaje kujenga lift ya umeme. Simple tu.
 
Achana na ukizeeka ni kero, hata sahizi na age 30s sipendelei gorofa, kuna level ya elimu ilinipasa kuwa na chumba hostel ya gorofa kadhaa.
Nilienda kupanga geto kitaa, gorofa zenyewe zinazojidondokea pia ukiwa juu kizungu zungu sitaki kabisa,
 
Space 80%
Leisure&pleasure 20%
 
Sio ghorofa tu. Hata nyumba kubwa hazifai. Utakuja kujua hl watoto wakishakuwa wakubwa na wanaanza kujitegemea. Mtu unajenga nyumba kuuubwa vyumba mpaka 6. Wewe unaishi chumba ki1. Pesa tu ndio zinafanya watu wafanye mambo ya ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…