Mnaojiita Vyama Pinzani Tanzania msipokubali kuacha ubinafsi na kuwatumikia Wananchi kwa Elimu ya Siasa Ikulu mtapasikiga tuu


Gross fallacy. Wewe sio mjinga; unaujua ukweli jinsi CCM inavyoshinda chaguzi zote. Kila mwenye akili anajua. Ulichoandika hapa hakina ukweli wala mantiki. Ni kubomoa taifa kupitia uongo mkuu. It’s embarrassing.
 
Bi Mkubwa katisha sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daah kwahiyo kabla mumewe hajachoma mtambo ulikua na shida ya network[emoji16][emoji16]huyu mama akili zake anazijua samia
 
Gross fallacy. Wewe sio mjinga; unaujua ukweli jinsi CCM inavyoshinda chaguzi zote. Kila mwenye akili anajua. Ulichoandika hapa hakina ukweli wala mantiki. Ni kubomoa taifa kupitia uongo mkuu. It’s embarrassing.

Ni aibu kwa watu wazima tena wenye akili timamu kulalamikia tatizo moja miaka 30 bila kulipatia suluhu ya kudumu

Halafu mlivyokua matapeli mkajuaga mkijiuza kwa Lowasa ndio mtashika dola😂😂😂😂
 
Kwahiyo hadi leo kero za huyo mtanzania hatuzijui? hivyo zinahitaji kuzungumzwa sana na wapinzani au zinatakiwa kutatuliwa na hao ccm waliozijua tokea enzi ya Nyerere (ujinga, maladhi na umaskini). Think guy!
 
Kwani CCm hakuna wachumia tumbo. Ufisadi mkubwa wote uliowahi kufanywa nchini. Umetokea upinzani? Acha siasa za ajabu ndani ya platform ya kama hii. By the way Manaipa promo zaidi upinzani. Wapeni uhuru basi uone watakavyo kusukumia moto.
 

Kwa viongozi wa Chadema pale zilipo pesa ndiko iliko mioyo yao
 
Kweli kabisa,wabunge wetu watiifu kwa wananchi wametupitishia Tozo za mshikamano!!
 
Wapinzani wamegawanywa ni ngumu kuwa na umoja, hawaaminiani na wengi ni opportunistics......wanachokisema sicho wanachokiishi
 
Mambo kadhaa wapinzani watendewe, ni kupewa haki ya kufanya mambo yao kwa mujibu wa Sheria bila kubughudhiwa.

1. Mikutano ya ndani na hadhara
2. Makongamano na mijadala mbalimbali
3. Maandamano ya Amani yaliyopo kisheria pale wanapotaka kupaza sauti zao.
4. CCM lazima iamini na ielewe na kukubali kuwa uongozi ni zamu na zamu zinapangwa na wananchi hivyo wananchi waachwe hurukugweka madarakani viongozi wao wanaowataka.
 

Hiiiiiiiii
 
Mama D bwana ccm ilishaondoka tz iliyopo ipo pitia mlango wa nyuma that's ccm mna kibri sana
 
Kama ni kweli kwanini CCM wanaiba kura? Msijidanganya upinzani hautakufa Tanzania kama Chadema pekee wana wanachama wachangiaji 7M! ina maana chama chao kinakuwa
Kuishabikia Chadema ni kama kuwa kwenye ndoa ya manyanyaso.
Lazima uwe na mapenzi kama mashabiki wa Arsenal. Wanalia kila siku.
 
Hebu yuwe serious kidogo mkuu, ruzuku ipi hiyo vyama pinzani vinakula?? Hii hii iliyotolewa au kuna nyingine wanapewa mlango wa nyuma??

Kwa siasa za nchi hii tunavilaumu bure tu hivyo vyama, kwanza tuwapongeze sana sana. Hebu fikiria mtu akivaa gwanda la chadema tu utasumbuliwa na polisi mpaka ukome.
Wamepigwa ban mikutano ya ndani, ruzuku ndio hiuo kiduchu huku chama tawala kikijipa mamilion.

Nadhani unajifariji tu mkuu yani unamchapa viboko mwanao halafu unajisifu kua umepigana.
 
Acha kelele lipa tozo

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

Sijawahi kuwa mwanachama wa CCM wala chama chochote cha siasa

Ninachojua kama nchi tunahitaji upinzani imara kwa afya siasa na uchumi wa taifa letu

Vinginevyo acha makasiriko
 
Kidumu Daima dawama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…